Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 24,831
- 45,154
S. Africa inaonesha dunia ubora wao ktk eneo la ujasusi.iIT IS DIFFICULT TO PROVE GENOCIDE PARTICULARLY UNAPOSHAMBULIWA KAMA Hamas ilivyofanya
Hakuna kitu kama hicho.For your information wameidharaulisha Africa
Sema waarabu wakati mwingine watu wa hivyo sana. Huwezi sikia muarabu anaandamana kisa haki ya muafrikaWanakumbi.
Kutana na Jopo la Wanasheria Nguli kutoka Afrika Kusini ambao wameweka historia pale kwenye Mahakama ya Haki ya Kimataifa (ICJ) kwa kuishtaki Israeli juu ya udhalimu wanaoufanya pale Gaza.
• John Dugard
• Max Du Plessis
• Adila Hassim
• Tembeka Ngcukaitobi
• Tshidiso Ramogale
• Sarah Pudifin-Jones
• Lerato Zikalala
• Vaughan Lowe
• Blinne Ní Ghrálaigh
South Africa wameiheshimisha Africa, na ni aibu kwa mataifa yanayojinasibisha kutetea haki, So far kuna mataifa ya Ulaya tayari yamekataa kuunga mkono USA ama kuna vuguvugu la kuunga mkono South, Nchi zaidi ya 54 zimeshaiunga mkono South Africa.
View attachment 2870322
Hao watu hawafai.....ni wabinafsi sana.Sema waarabu wakati mwingine watu wa hivyo sana. Huwezi sikia muarabu anaandamana kisa haki ya muafrika
Africa South of sahara has nothing in common to do with Africa North of Sahara! Hivyo wao wanajinasibu sana na wazungu na waarabu na siyo waafrika/weusi!Sema waarabu wakati mwingine watu wa hivyo sana. Huwezi sikia muarabu anaandamana kisa haki ya muafrika
Wanakumbi.
Kutana na Jopo la Wanasheria Nguli kutoka Afrika Kusini ambao wameweka historia pale kwenye Mahakama ya Haki ya Kimataifa (ICJ) kwa kuishtaki Israeli juu ya udhalimu wanaoufanya pale Gaza.
• John Dugard
• Max Du Plessis
• Adila Hassim
• Tembeka Ngcukaitobi
• Tshidiso Ramogale
• Sarah Pudifin-Jones
• Lerato Zikalala
• Vaughan Lowe
• Blinne Ní Ghrálaigh
South Africa wameiheshimisha Africa, na ni aibu kwa mataifa yanayojinasibisha kutetea haki, So far kuna mataifa ya Ulaya tayari yamekataa kuunga mkono USA ama kuna vuguvugu la kuunga mkono South, Nchi zaidi ya 54 zimeshaiunga mkono South Africa.
Mwana mama Adilla hassam nimemuelewa sana
Kwani huko nyumbani kwenu kuna nini, unapigwa na mmeo!?South Africa walitakiwa kuanzia nyumbani huku. Hicho walichokifanya kitaa tunaita shobo dundo
Wameanza na Israel, wewe unaweza kuendelea na Sudan na France.Wangeanza na Al bshiri WA Sudan kuwaua waafrika weusi Darfur kupitia kundi lake la kigaidi la janjaweed,wakitoka hapo waishtaki ufaransa kwa kumuua Gadaff hapo wangetuheshimisha,Kisha wamalize kwa madikteta wa Africa.
Wanakumbi.
Kutana na Jopo la Wanasheria Nguli kutoka Afrika Kusini ambao wameweka historia pale kwenye Mahakama ya Haki ya Kimataifa (ICJ) kwa kuishtaki Israeli juu ya udhalimu wanaoufanya pale Gaza.
• John Dugard
• Max Du Plessis
• Adila Hassim
• Tembeka Ngcukaitobi
• Tshidiso Ramogale
• Sarah Pudifin-Jones
• Lerato Zikalala
• Vaughan Lowe
• Blinne Ní Ghrálaigh
South Africa wameiheshimisha Africa, na ni aibu kwa mataifa yanayojinasibisha kutetea haki, So far kuna mataifa ya Ulaya tayari yamekataa kuunga mkono USA ama kuna vuguvugu la kuunga mkono South, Nchi zaidi ya 54 zimeshaiunga mkono South Africa.
View attachment 2870322
Akikujibu mrejesho tafadhali, tuko pale.Wameanza na Israel, wewe unaweza kuendelea na Sudan na France.
Ma lawyer wetu wanapoonyesha ubingwa wao katika nadharia uchwaraiIT IS DIFFICULT TO PROVE GENOCIDE PARTICULARLY UNAPOSHAMBULIWA KAMA Hamas ilivyofanya
Kwan mtu binafsi ni ruksa kufunguaWameanza na Israel, wewe unaweza kuendelea na Sudan na France.
Hizo ni fikra zako kama wewe unaona mtu anayepinga mauaji ya kimbari ni kutafuta attetion na hapendi haki basi acha sisi tuwaunge mkono South Africa wanaopinga haya mauaji.Hao hawapendi haki isipokuwa wanapenda attention, Kama ni wapenda haki wangeanzia nyumbani Africa Kuna mengi yanahitaji kusemewa na wapo kimya. Binafsi nawaona Kama mbwa Koko tu.
Vyovyote mtakavyoona lakini South Africa kaonyesha uthubutu kufungua kesi dhidi ya magaidi wa Israel.Kufungua kesi hakujawahi kuwa ushujaa.
🚨🇿🇦🇮🇱 KESI YA ICJ - AFRIKA KUSINI: ISRAEL YALENGA NYUMBA ZA FAMILIA | 1% IDADI YA WATU WAMEUAWA, 25% WAMEJERUHIWAiIT IS DIFFICULT TO PROVE GENOCIDE PARTICULARLY UNAPOSHAMBULIWA KAMA Hamas ilivyofanya