Jordan Rugimbana alimkosea nini Hayati Magufuli?

uwepo wa LISU nchini ni faida kubwa mno ,Kama magufuli aliweza kuzindua sehemu project halafu LISU akaongea na wandishi habari ,magazeti yoooote yakaandika habari ya LISU na front page na picha kubwa za LISU ,magufuli akawekwa kurasa za mwisho nakapicha kadogo sio kazindogo

Nahapo ndipo ilizaliwa hii kitu,you are not free at that extent
 
Namshukuru sana Roho wa Mungu kwa kumtwaa shetani yule wa Chato na kumtupa kuzimu
 
Aendelee na ujenzi wa makumbusho, mama kasema kazi iendelee
 
Dawa za kiganga zipo, amini usiamini
 
Watch it....ahaaaa
 
Kwahiyo mpaka sasa kuna zuio la kujenga hiyo Makumbusho?
 
Kwahiyo mpaka sasa kuna zuio la kujenga hiyo Makumbusho?
Zuio limekufa automatically,kazi iendelee ila kwa vile hakuna asali ya kulamba na hana mamlaka ni jobless kazi itakuwa ngumu sana,
 
Katika dili lolote lazima liwe na PLAN B ikiwezekana hata PLAN C ........ sasa hata wenyewe wanaweza kuwa walikuwa na plan B ila mazingira hayakuwa rafiki tena
Magufuli na majinga yake hayakuwa na akili za plan B wala C

Rais aliyepora korosho na kuwaambia jeshi wabangue hata kwa mabomu mwishowe akaishia kuzitupa baharini ana akili kiasi gani?
 
Mission za namna hiyo haziwezi kutegemea Mkuu wa Mkoa aisee! zinaundiwa kikosi maalumu kuanzia mpigaji mpaka Nesi atakae husika kumtibia au kusafisa maiti
Bila RC kujua wale Polisi waliondolewa na nani getini? Au bila RC kujua unadhani Ile plate number ya gari lililokua linamfuatilia Lissu lingeachwa tu??

Tanzania hatuna competence ya kiasi hicho unachofikiria. Kma kifo cha Rais kinavuja unadhani RC atashinda kuwa na informants kuhusu covert operations ndani ya mkoa wake? Maana asipojuzwa anaweza intercept alafu mambo yakaharibika.
 
Kisa
Hakushiriki IPASAVYO mauaji!!?

LAKINI huyu lisu!!!?

Aliifanya Nini jamuhuri hadi Baraka za shambulizi lake likafanyika!!?

Aliponzwa na waliomtuma!?!?!?

Acha ibaki ivo ivo!
Alitumwa na nani? yaani Kila anayemkosoa Rais katumwa so hata kina Bashiru na Mpina wametumwa kisa wanamkosoa Mama??

Cha kuchekesha hao Barrick/Acacia aliyekua Makam wa Rais wa hiyo taasisi ndio kapewa ubunge na JPM licha ya kuwa na kesi ya mabilioni. Kwanini hizo risasi asimiminiwe Mwanyika au Kafumu? Au Chenge? Yaani walioiba madini yetu wapo hai ila anapigwa risasi mtu ambaye hakuhusika hata utiaji Saini.

Aisee hii nchi ya ajabu sana
 
Kama kweli shambulio la Lisu lilipangwa ndani ya nyumba nyeupe, nashauri aombe hifadhi ya kudumu huko huko alipo asirudi huku kwasababu nahofia sana waliokosea hesabu hadi leo (kama bado wako hai) hawana raha wakimuona.
Ndio maana viongozi waandamizi wa majeshi walipanguliwa it seems Samia hataki hiyo path ya violence so hawezi authorise mauaji ya Lissu mind you alienda kumuona hospital kule Nairobi so hiyo ni assurance tosha kwa Lissu juu ya usalama wake.
 
Nilishangaa sana mwanyika kupewa ubunge
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…