pilipili kichaa
JF-Expert Member
- Sep 3, 2013
- 18,406
- 14,643
🤣🤣🤣nimethema thitaki kumuona mtu akikatiza mko wangu kama hajaoga...PLAN ya kumshirikisha Bashite iwe na B kweli[emoji23][emoji23][emoji23]
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
ThanksDownload app ya adobe reader
Ni heri kukaa kijiweni kwa amani kuliko kuwa ofisini ukiwa unanuka damu za watu.
SijaelewaAliweza kupasua jeneza alilonunua Dada yake kumzikia ndugu huyu hakuwa binadamu kabisa
Kwa tukio lile inatakiwa familia yake walipwe kisasi by any means.Sidhani kama walitegemea kama angefika hospitali akiwa hai. Hauwezi kufanya mission kama hiyo alafu watu wengi kiasi hicho wawe involved.
Kama kuna maelezo RC alipata itakuwa ni baada ya mambo kwenda mrama na jamaa kufikishwa hospitalini.
Siku ile sidhani kama kuna mtu yeyote angemsikiliza jiwe, wabunge wa CCM walilia machozi hadharani, yaani ni kama roho wa Mungu alishuka pale Dom, kila mtu alipambana kuokoa uhai ya Lissu.
Kama haijapangwa haijapangwa tu, hata ufanye nini.
Tarehe 7 Sept 2017
Tundu Lissu anapigwa risasi mkoani Dodoma
October 2017
Jordan Rugimbana mkuu wa mkoa wa Dodoma anatumbuliwa.
Jordan ni mtoto wa Kamisna wa kwanza wa jeshi la magereza nchini. Baba yake alifariki kwa ajali kama sikosei enzi za Nyerere. Nyerere aliwachukua baadhi yao na kuwalea kama wanae.
Huyu alikuwa kada mtiifu wa UVCCM.
Kuna mwaka akawa kiongozi wa mbio za mwenge. Ghafla nyota yake ikawaka na kukwaa ukuu wa wilaya kadhaa kama vile Mwanga,Kinondoni na kuwa RC Dodoma.
Kipindi Tundu Lissu anapigwa risasi yeye ndio alikuwa mkuu wa mkoa wa Dodoma na mwenyekiti wa kamati ya inzi na usalama mkoa. Inasemekana kuna maelekezo toka juu hakuyafata kuhusiana na kumtibia na kumsafitisha majeruhi Lissu.
Baada ya kutumbuliwa akajifungia ndani akijiikita kufanya shughuli zake binafsi ikiwemo kusimamia ujenzi wa makumbusho ya kabila lao huko Karagwe.
Wanoko wakamfikishia taharifa hayati Magufuli kuwa yule bwana uliyemtumbua anajenga makumbusho kijijini kwao. Magufuli akaupiga stop ule mradi ambao ulikuwa hautumii fedha za umma bali wananchi na wafadhili. Na akamwambia amefungiwa mbinguni na duniani kamwe atalamba asali maishani mwake.
Huu ni mwaka wa nne wenzake akina Chalamila na Kafulila n.k wanatumbuliwa na kurudishwa, yeye yupo tu anacheza bao kijiweni.
Swala la lisu na wengine kuokotwa kwenye viroba na kupotezewa kusiko julikana Ni Jambo baya Sana kuwahi kufanya na serekali , serekali ya jiwe ilikuwa inawajali Sana Rai wake ika swala la risasi za lisu na kuokotwa kwenye viroba watu Ni baya Sana imearibu mazuri yote ya magufuli kwangu .kila nikitaka kumsifia magu nikikumbuka masila yake roho inasononeka sana..Tundu Lissu alikuwa nyang'anyang'a, na matumaini ya kunusurika na kifo yalikuwa madogo sana.
..wengi waliamini kumpeleka Nairobi ilikuwa kuchoma pesa tu kutokana na hali mbaya ya kukatisha tamaa aliyokuwa nayo.
..hata Madaktari wa Nairobi wanaona kupona kwa Lissu ni miujiza.
Swala la Johnson mwanyika kupewa ubunge nilikuwa Sina majibuAlitumwa na nani? yaani Kila anayemkosoa Rais katumwa so hata kina Bashiru na Mpina wametumwa kisa wanamkosoa Mama??
Cha kuchekesha hao Barrick/Acacia aliyekua Makam wa Rais wa hiyo taasisi ndio kapewa ubunge na JPM licha ya kuwa na kesi ya mabilioni. Kwanini hizo risasi asimiminiwe Mwanyika au Kafumu? Au Chenge? Yaani walioiba madini yetu wapo hai ila anapigwa risasi mtu ambaye hakuhusika hata utiaji Saini.
Aisee hii nchi ya ajabu sana
@Etwege hajawahi kujaliwa kutumia vizuri ubongo wake"Miradi yake" kwani alitoa pesa zake mfukoni!!??
Utumwa wa kiakili na kifikra ndio unaowafanya muwe watumwa wa mtu/watu/ badala ya nchi.
Haikuwepo baraka ya Jamhuri bali chuki ya mtu mmoja ambaye kwa bahati mbaya alikalia kile kiti.Kisa
Hakushiriki IPASAVYO mauaji!!?
LAKINI huyu lisu!!!?
Aliifanya Nini jamuhuri hadi Baraka za shambulizi lake likafanyika!!?
Aliponzwa na waliomtuma!?!?!?
Acha ibaki ivo ivo!
Swala la Johnson mwanyika kupewa ubunge nilikuwa Sina majibu
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Ni kweli wakati mwingine. Hao watu sio kwamba wana furaha sana kama tunavyowaona kwa nje.Ni heri kukaa kijiweni kwa amani kuliko kuwa ofisini ukiwa unanuka damu za watu.
AiseeSidhani kama walitegemea kama angefika hospitali akiwa hai. Hauwezi kufanya mission kama hiyo alafu watu wengi kiasi hicho wawe involved.
Kama kuna maelezo RC alipata itakuwa ni baada ya mambo kwenda mrama na jamaa kufikishwa hospitalini.
Siku ile sidhani kama kuna mtu yeyote angemsikiliza jiwe, wabunge wa CCM walilia machozi hadharani, yaani ni kama roho wa Mungu alishuka pale Dom, kila mtu alipambana kuokoa uhai ya Lissu.
Kama haijapangwa haijapangwa tu, hata ufanye nini.
Rejea operation ya kumuua Osama, president Obama anasema ilikuwa ni mission ya watu wachache sana hata chimbo alipokuwa si jeshi wala rais wa nchi aliyejua huo mpango.Bila RC kujua wale Polisi waliondolewa na nani getini? Au bila RC kujua unadhani Ile plate number ya gari lililokua linamfuatilia Lissu lingeachwa tu??
Tanzania hatuna competence ya kiasi hicho unachofikiria. Kma kifo cha Rais kinavuja unadhani RC atashinda kuwa na informants kuhusu covert operations ndani ya mkoa wake? Maana asipojuzwa anaweza intercept alafu mambo yakaharibika.