Jordan: Watatu wafariki kwa kudondokewa na drone iliyodunguliwa

DeepPond

JF-Expert Member
Joined
Nov 18, 2017
Posts
41,728
Reaction score
103,997
Jordan: Watatu wafariki kwa kudondokewa na drone iliyodunguliwa

Shirika la usalama nchini Jordan "Royal intelligence" limeripoti kwamba Watu Watatu wamefariki dunia kwa kulipukiwa na suicide drone ya iran waliyoidungua wakati wakijaribu kuiokoa Israel dhidi ya mashambulizi ya Iran usiku wa Jana.

Source: royal intelligence-twitter (x)
 
Attachments

  • Screenshot_20240414-132608.png
    Screenshot_20240414-132608.png
    190.7 KB · Views: 6
Jordan: Watatu wafariki kwa kudondokewa na drone iliyodunguliwa

Shirika la usalama nchini Jordan "Royal intelligence" limeripoti kwamba Watu Watatu wamefariki dunia kwa kulipukiwa na suicide drone ya iran waliyoidungua wakati wakijaribu kuiokoa Israel dhidi ya mashambulizi ya Iran usiku wa Jana.

Source: royal intelligence-twitter (x)
Safi jambo jema Jordan imejialika yenyewe kwenye vita
 
Israel anacheka tu, mtu anarusha makombora km 2300 kutoka kwako, yanaishiwa nguvu yanadondoka kwa majirani zake kina jordan
Unachekesha young boy. Makombora yalidunguliwa lakini yapo yaliyohit the target. Huwezi hata kupongeza kimoyomoyo hilo tu kwamba at a distance of 2300km kama ulivyosema Bado mtu amelifikisha kunako?
 
Waraabu wajinga sana kwa kuwa vibaraka wa wamarekani na kusaliti wenzao.
Pole sana ndugu yangu, na siyo wajinga tu na ni wapumbavu pia...waarabu ukitafakari vizuri hawajawahi kujitegemea kikamilifu kila kitu walicho nacho lazima kitegemee nguvu ya wazungu. Hata dini yao pendwa kuna vitu wamekopi na wanalazimisha rejea kutoka ktk dini ya wazungu!

Tatizo ndipo lilipoanzia.
 
Unachekesha young boy. Makombora yalidunguliwa lakini yapo yaliyohit the target. Huwezi hata kupongeza kimoyomoyo hilo tu kwamba at a distance of 2300km kama ulivyosema Bado mtu amelifikisha kunako?
Achana na Zombie huyo....nchi yake imeshindwa hata kutengeneza drone ya kupiga video camera.
Anaenda kucheka nchi iliyo tengeneza drone ina tembea zaidi ya kilomita 2,000. Wabongo tuna shida mpaka shetani ana shangaa hawa viumbe wameumbwa na nani
 
Jordan: Watatu wafariki kwa kudondokewa na drone iliyodunguliwa

Shirika la usalama nchini Jordan "Royal intelligence" limeripoti kwamba Watu Watatu wamefariki dunia kwa kulipukiwa na suicide drone ya iran waliyoidungua wakati wakijaribu kuiokoa Israel dhidi ya mashambulizi ya Iran usiku wa Jana.

Source: royal intelligence-twitter (x)
Pole sana kwao tukijumlisha na wale wairan 7 waliouwawa na Israel jumla watu 10 wamekufa kwenye huu mgogoro israel hajafa hata 1 dah vita mbaya sana...
 
Achana na Zombie huyo....nchi yake imeshindwa hata kutengeneza drone ya kupiga video camera.
Anaenda kucheka nchi iliyo tengeneza drone ina tembea zaidi ya kilomita 2,000. Wabongo tuna shida mpaka shetani ana shangaa hawa viumbe wameumbwa na nani
Achana na drone ya camera kudhibiti uchafu Ili kuizuia kipindupindu imeshindikana lakini anaibishia nchi yenye uchumi zaidi ya mara 20 ya nchi yake Kia yeye ni mfuasi wa Israel na alikaririshwa kuwa ukiibariki Israel nawe utabarikiwa sasa unabamizwa na mbu Kila siku na ugali ngogwe hala unadai umebarikiwa labda kunya mavi magumuuu ndo barakoa alopata
 
Jordan: Watatu wafariki kwa kudondokewa na drone iliyodunguliwa

Shirika la usalama nchini Jordan "Royal intelligence" limeripoti kwamba Watu Watatu wamefariki dunia kwa kulipukiwa na suicide drone ya iran waliyoidungua wakati wakijaribu kuiokoa Israel dhidi ya mashambulizi ya Iran usiku wa Jana.

Source: royal intelligence-twitter (x)
Iran ni konyo
 
Unachekesha young boy. Makombora yalidunguliwa lakini yapo yaliyohit the target. Huwezi hata kupongeza kimoyomoyo hilo tu kwamba at a distance of 2300km kama ulivyosema Bado mtu amelifikisha kunako?
Mkiambiwa mtaje targets zilizokuwa hitted mnalalamika kuwa mnaonewa na kwa nini mkiongea hamuaminiki, mkiombwa picha mnaenda kuleta picha za Syria, Ukraine na za kwenye movies.
 
Back
Top Bottom