Jordani yakataa kumzika mfungwa aliyeachiliwa huru aliyefariki kwa saratani

Jordani yakataa kumzika mfungwa aliyeachiliwa huru aliyefariki kwa saratani

Uzalendo wa Kitanzania

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2020
Posts
4,274
Reaction score
9,326
Maajabu Jordan yagoma kupokea mwili wa gaidi mfungwa wa kundi la kipaleatina Islamic jihad na kuurudisha misri aliachiwa huru na Israel

Wadau hamjamboni nyote?


Moatassem Radad ni mpalestina mwenye asili ya Jordan na alikuwa gaidi hatari wa kundi la kipaleatina la Islamic jihad na

Alikuwa jela za Israel kwa kifungo cha miaka 20 ila aliachiwa kwenye mpango wa kubadilisha wafungwa na Hamas karibuni

Baada ya kuachiwa huru alikwenda kutibiwa misri na amefariki hivyo mwili ukapelekwa Jordan kuzikwa

Hata hivyo mwili huo ulipofika airport Serikali ya Jordan iligoma kabisa kupokea na kuamua kuurudisha nchini Misri

===
Jordan refuses to bury freed prisoner who died of cancer, Islamic Jihad says

The Palestinian Islamic Jihad terror group says Jordan has refused to receive the body of Moatassem Radad, a Palestinian prisoner of Jordanian origin who was released in a hostage deal earlier this year and died of cancer in an Egyptian hospital last week.

The group said it had intended to transfer the body to Jordan so he could be buried alongside his family. According to their statement, Jordanian authorities returned the body to Egypt after it had already been flown to the airport in Amman, Jordan’s capital.

Jordan has in the past refused to accept prisoners released by Israel in exchange for hostages held in Gaza who were deported to Egypt, even those holding Jordanian citizenship.

Radad was a member of the Palestinian Islamic Jihad and was sentenced in Israel to 20 years in prison for security offenses, though the specific charges were not published in Israel. He was originally from the village of Sida in the western West Bank, though part of his family is originally from Jordan. He was hospitalized in Egypt.
 
Akatupwe huko baharini, ila mbona wakatae kupokea maiti wakati Kenya kumekua na mvutano mkali wa waislamu kunyang'anya Wana familia maiti wakazika wao.
 
Akatupwe huko baharini, ila mbona wakatae kupokea maiti wakati Kenya kumekua na mvutano mkali wa waislamu kunyang'anya Wana familia maiti wakazika wao.
Kuwaelewa Waislamu ni sawa na kutaka kumwelewa mwanamke nini anakitaka. Utasikia, "baby hivi kwa mfano mimi ningezaliwa Marekani, wewe ungezaliwa wapi"? Sasa kosea usiitaje Marekani, ugomvi unaanza hapo hapo yaani
 
Back
Top Bottom