Jorginho for Ballon D`or 2021

Jorginho for Ballon D`or 2021

Greatest of all time

5D4070AD-9DDE-41CA-871D-BC0CE9A8FF28.jpeg
 
Tangu fifa waiondoe ballon do, imeanza kupoteza mvuto taratibu
Fikiria had taarifa za nan mshindi zinavuja!! Haukuwahi kutokea enzi ipo fifa

Saiv wamepanga kumpa Messi, lakin nje ya copa America hakuna alichofanya
Sio mfungaji bora uefa wala ulaya
Sio mchezaji bora uefa
Hakushinda kombe lolote la ligi wala uefa

Sasa unampa kwa tozo kwa tournament moja tu?????
Hii tuzo huwa inaangalia achievements za mchezaji binafsi sio makombe makubwa ambayo timu yake inapata.

Rejea 2013, Ribery alishinda makombe yote UEFA, FIFA WORLD CUP, BUNDESLIGA NA VIKOMBE VINGINE ila tuzo alipewa Ronaldo ambaye hakupata kikombe chochote.

Au 2010 Iniesta alishinda vyote jumlisha na World CUP lakini Messi alipewa tuzo.

Messi ni Mchezaji bora La Liga, Mfungaji bora La Liga, Playmaker bora Laliga, Most Man Of the match La Liga na anaongoza Dribbles.

Messi ni Mchezaji bora Copa America, Mfungaji Bora Copa America, na anaongoza Dribbles.

Pia vikombe anavyo japo sio kigezo ana Copa del ray na Copa America.

Tuache ushabiki tuangalie performance binafsi ya mchezaji.
 
Mmh Ribery World Cup alishinda lini mkuu?
 
Uko sawa kabisa!
Nafikiri kwa ufuatiliaji wako wa mpira, utakuwa na stats za jorginho pia..

Waweza ziweka hapa alafu uhitimishe
 
Takwimu za Jorginho zinajulikana. Angalia kwenye ligi anayocheza halafu mfananishe kwenye category kama

  • Kiungo bora ?
  • Most MoTM?
  • Most Dribbles?
  • Most through balls?
  • Most tackles?
  • Most ball recoveries?
  • Most Assists?

Unaweza kukuta kwenye kila category hayupo kwenye ligi anayochezea.

Sasa utamfananisha na Messi ambaye kila michuano anakuwepo kwenye zaidi ya nusu ya categories muhimu.

Takwimu ndio zinaongea. Mchezaji bora ni uwezo binafsi na sio vikombe ambavyo timu yako imepata.
 
Unakumbuka kuna mwaka kati ya Chris na Leo kuna mmoja alishinda hiyo tuzo, alafu media km zote zikasema amependelewa??

Km unakumbuka, na jibu likawa kweli alipendelewa,,,,unadhani sas hiyo tuzo inazingatia tena hizo stats???
 
Mashabiki wa ronaldo, akishindwa jamaa yenu mnatafuta pakusemea ndiyo haya mara Lewandowski mara oh joginho 😂 . Alafu jamaa yenu amekasirishwa hukoo

Wanamichezo hawako hivyo kamanda...hata kama humpendi mpatie atleast hongera yake, he deserved
 
Eti wanarusha saa ngapi hii ballooon deoo nataka kuangalia mitindo hasa suti na magauni ya wake za wachezaji. Utashangaa mchezaji unampenda anashinda anapanda jukwaani na mke wake guess whaaat mke wake ni mwanaume mwenzie. Inakata stimu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Lewandowski ameonewaa, af amepozwa na tuzo uchwara iliyoanzishwa leo, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Yaan aibu naona mie lol.
 
😂wewe hata hatukujibu usije kimbia uzi
 
Back
Top Bottom