Cha asubuhi
JF-Expert Member
- Jun 21, 2017
- 1,549
- 2,279
MimiNani anaezomea?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
MimiNani anaezomea?
Hii tuzo huwa inaangalia achievements za mchezaji binafsi sio makombe makubwa ambayo timu yake inapata.Tangu fifa waiondoe ballon do, imeanza kupoteza mvuto taratibu
Fikiria had taarifa za nan mshindi zinavuja!! Haukuwahi kutokea enzi ipo fifa
Saiv wamepanga kumpa Messi, lakin nje ya copa America hakuna alichofanya
Sio mfungaji bora uefa wala ulaya
Sio mchezaji bora uefa
Hakushinda kombe lolote la ligi wala uefa
Sasa unampa kwa tozo kwa tournament moja tu?????
Mmh Ribery World Cup alishinda lini mkuu?Hii tuzo huwa inaangalia achievements za mchezaji binafsi sio makombe makubwa ambayo timu yake inapata.
Rejea 2013, Ribery alishinda makombe yote UEFA, FIFA WORLD CUP, BUNDESLIGA NA VIKOMBE VINGINE ila tuzo alipewa Ronaldo ambaye hakupata kikombe chochote.
Au 2010 Iniesta alishinda vyote jumlisha na World CUP lakini Messi alipewa tuzo.
Messi ni Mchezaji bora La Liga, Mfungaji bora La Liga, Playmaker bora Laliga, Most Man Of the match La Liga na anaongoza Dribbles.
Messi ni Mchezaji bora Copa America, Mfungaji Bora Copa America, na anaongoza Dribbles.
Pia vikombe anavyo japo sio kigezo ana Copa del ray na Copa America.
Tuache ushabiki tuangalie performance binafsi ya mchezaji.
Uko sawa kabisa!Hii tuzo huwa inaangalia achievements za mchezaji binafsi sio makombe makubwa ambayo timu yake inapata.
Rejea 2013, Ribery alishinda makombe yote UEFA, FIFA WORLD CUP, BUNDESLIGA NA VIKOMBE VINGINE ila tuzo alipewa Ronaldo ambaye hakupata kikombe chochote.
Au 2010 Iniesta alishinda vyote jumlisha na World CUP lakini Messi alipewa tuzo.
Messi ni Mchezaji bora La Liga, Mfungaji bora La Liga, Playmaker bora Laliga, Most Man Of the match La Liga na anaongoza Dribbles.
Messi ni Mchezaji bora Copa America, Mfungaji Bora Copa America, na anaongoza Dribbles.
Pia vikombe anavyo japo sio kigezo ana Copa del ray na Copa America.
Tuache ushabiki tuangalie performance binafsi ya mchezaji.
Takwimu za Jorginho zinajulikana. Angalia kwenye ligi anayocheza halafu mfananishe kwenye category kamaUko sawa kabisa!
Nafikiri kwa ufuatiliaji wako wa mpira, utakuwa na stats za jorginho pia..
Waweza ziweka hapa alafu uhitimishe
Unakumbuka kuna mwaka kati ya Chris na Leo kuna mmoja alishinda hiyo tuzo, alafu media km zote zikasema amependelewa??Takwimu za Jorginho zinajulikana. Angalia kwenye ligi anayocheza halafu mfananishe kwenye category kama
- Kiungo bora ?
- Most MoTM?
- Most Dribbles?
- Most through balls?
- Most tackles?
- Most ball recoveries?
- Most Assists?
Unaweza kukuta kwenye kila category hayupo kwenye ligi anayochezea.
Sasa utamfananisha na Messi ambaye kila michuano anakuwepo kwenye zaidi ya nusu ya categories muhimu.
Takwimu ndio zinaongea. Mchezaji bora ni uwezo binafsi na sio vikombe ambavyo timu yako imepata.
Unakumbuka kuna mwaka kati ya Chris na Leo kuna mmoja alishinda hiyo tuzo, alafu media km zote zikasema amependelewa??
Km unakumbuka, na jibu likawa kweli alipendelewa,,,,unadhani sas hiyo tuzo inazingatia tena hizo stats???
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Eti wanarusha saa ngapi hii ballooon deoo nataka kuangalia mitindo hasa suti na magauni ya wake za wachezaji. Utashangaa mchezaji unampenda anashinda anapanda jukwaani na mke wake guess whaaat mke wake ni mwanaume mwenzie. Inakata stimu
😂wewe hata hatukujibu usije kimbia uziLewandowski ameonewaa, af amepozwa na tuzo uchwara iliyoanzishwa leo, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yaan aibu naona mie lol.
[emoji23][emoji23][emoji23] sasa c ujibu km unalo, nikimbie kisa nn?[emoji23]wewe hata hatukujibu usije kimbia uzi
Kwani ule uzi kule alikimbia?😂wewe hata hatukujibu usije kimbia uzi
😁😁Hatujakuzoea kukuona huku tumezoea kule kwa Rikiboy[emoji23][emoji23][emoji23] sasa c ujibu km unalo, nikimbie kisa nn?
mwanariadha maarufu kabisaaaKwani ule uzi kule alikimbia?