José Eduardo dos Santos ni tajiri Dangote hafui dafu

Dangote ni self made millionaire,huyo do Santos,ni mwizi kama walivyo ma Rais wengi wa Afrika,alipata ukwasi wake kwa kuiba mali ya umma.
 
huna akili.
 
Huyu marehemu utajiri wake ulitokana na ufisadi kipindi akiwa raisi.

Inasemekana binti yake kwa sasa ndio mtu tajiri nambari moja Africa.

Hivyo hatuwezi linganganisha utajiri wake na dangote ambaye ni pure mfanyabiashra.
umenena vyema.
 
Ana undugu na Neymar PSG?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…