Mpwayungu Village
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 14,540
- 30,875
- Thread starter
- #81
Ndonani huyu[emoji257] Roseline Moshi
Ni tajiri kweli kweli walahi [emoji2]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndonani huyu[emoji257] Roseline Moshi
Ni tajiri kweli kweli walahi [emoji2]
sa Obama anautajiri gani nawewe, unadhani marekani Kuna pesa ya ujanjaujanja kama bongo
NotedNi ngumu Africa kuendelea ,halafu ankuja mjinga mmoja anasema mabeberu ndio chanzo cha Umasikini hapa , aisee na utakuta hapo anarundo la machawa wanamsifia na kumpamba kila Kona .
Adui WA Africa ni mtu mweusi mwenyewe
Bado atazikwa baada ya uchaguziDo santos alishatoka kwenye friji?
Ulimwona akiibaHawezi kuwa kwenye forbes sababu ana utajiri wa wizi na sio wa kupambana.
Ngoja nitafatiliaWewe ni mbishi ka muha....una uhakika hakuwa na ndoa halali?
Mume wake si kafa juzi kati hapa na mambo ya [emoji472]
Uliza ueleweshwe kama kitu hujui[emoji848]
Ana visima vya mafutaAlikua anafanya biashara ipi mpka kua tajiri zaidi ya kukomba pesa kwenye hazina ya angola
Basi huyu Rais hafai akili zake kama za mwendazake aliyeanza kupokonya pesa na kufunga biashara za watu ikiwemo za mboweJoao Lourenco (JLo) Rais was Sasa wa Angola ameshafanikiwa kuwanyang'anya familia ya huyo mkimbizi Marehemu Dos Santos mabilioni ya Dollar waliyoiba huko Angola na kuyakimbizia Ulaya. Tena kwa msaada wa serikali za huko huko Ulaya . Kwa hiyo mpaka anakufa, hakuwa na ukwasi huo.
Aende marekani ili agundue nnAmepigwa marufuku kukanyaga Marekani kwa tuhuma za ufisadi pia anakabiliwa na mashitaka huko nchini kwake Angola
Hua diamini Kama dangote ile nipesa yake binafsiHuyu marehemu utajiri wake ulitokana na ufisadi kipindi akiwa raisi.
Inasemekana binti yake kwa sasa ndio mtu tajiri nambari moja Africa.
Hivyo hatuwezi linganganisha utajiri wake na dangote ambaye ni pure mfanyabiashra.
Obama ana nini sasa na wewe....unafikiri kwa wenzetu utaibia serikali kifala kama huku Africa shithole
Huwezi kuwa mtawala wa kiafrica usiwe mwiziUlimwona akiiba