José Eduardo dos Santos ni tajiri Dangote hafui dafu

Ndiyo ni masikini, kwa tafsiri ile ya masikini ni mtu aliyekufa…. Josè alishakufa.

Orodha ya matajiri unayopingana nayo haijamtambua huyo na majizi wenzake kwa sababu zao, unaweza kuanzisha orodha yako kama hivi.
Jamaa Kama anawaonea huruma Kama vipi aanzishe orodha yake ya matajiri wa Africa awaweke hao akina Dos Santos.
 
Kuna mtoto wake mmoja ameng'ang'aniwa na washika dau ( yuko gerezani Angola)
Hii inanikumbusha yule jamaa aliyekuwa amekimbia nchi tangu jiwe achukue madaraka. Jamaa alirudi mwenyewe nchini baada ya mdogo wake kukamatwa kwa kesi ya ujangili na uhujumu uchumi. Janja Yote kwisha. Jiwe alikuwa mafia aisee!
 
Alikua anafanya biashara ipi mpka kua tajiri zaidi ya kukomba pesa kwenye hazina ya angola
Akikujibu uni tag

Mkatibishe hyo kijana hpo mererani

Aone watu wanavyo hustle syo utajiri

Wa kupora mifedha za umma alafu unajiita tajiri umetafuta kwelikweli

Ova
 
Ni ngumu Africa kuendelea ,halafu ankuja mjinga mmoja anasema mabeberu ndio chanzo cha Umasikini hapa , aisee na utakuta hapo anarundo la machawa wanamsifia na kumpamba kila Kona .
Adui WA Africa ni mtu mweusi mwenyewe
 
Bara lina laana hili yani viongozi majizi yanaitwa matajiri?
Hopeless kabisa , na huyo ni tone katika bahari ,kuna manyangumi ya ufisadi WA kutisha Africa hii , Mali zao za wizi na fedha yanaficha nchi za nje ya Africa , nchi zote hapa Africa trend ni hiyo hiyo , with exception to Botswana labda .Hili Bara lisahau maendeleo au kuondokana na umasikini yaani unakuta 1% ya elites /leaders ndio wanatafuna nchi kama mchwa .
 
Vipi kuhusu mwanae Isabella yule chotara? maana katika watoto wake huyo wa kike ndio ana ukwasi wa kufa mtu
Ni moja ya matajiri wakubwa nchini Ureno, labda kama wamefilisi mali zake kwani hata moja ya TV stations kubwa huko Portugal anaimiliki(namzungumzia Isabella).
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…