José Eduardo dos Santos ni tajiri Dangote hafui dafu

Ni ngumu Africa kuendelea ,halafu ankuja mjinga mmoja anasema mabeberu ndio chanzo cha Umasikini hapa , aisee na utakuta hapo anarundo la machawa wanamsifia na kumpamba kila Kona .
Adui WA Africa ni mtu mweusi mwenyewe
Noted
 
Basi huyu Rais hafai akili zake kama za mwendazake aliyeanza kupokonya pesa na kufunga biashara za watu ikiwemo za mbowe
 
Huyu marehemu utajiri wake ulitokana na ufisadi kipindi akiwa raisi.

Inasemekana binti yake kwa sasa ndio mtu tajiri nambari moja Africa.

Hivyo hatuwezi linganganisha utajiri wake na dangote ambaye ni pure mfanyabiashra.
Hua diamini Kama dangote ile nipesa yake binafsi
 
Hata Rais wa Tanzania tajiri, ingawa hana biashara yoyote inayofahamika kwa uwazi kuwa anafanya. Ndio ushangae hapo Sasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…