Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Wataelewa tuCc musolini
Hana akili Morinho au mimi mjomba ?huna akili unaongea bil facts
Kwani Morinho anafundisha timu ngapi EPL ?Inawezekana ana mzuka wa kutumia pesa ndefu......we angalia alionunua wooote kwa pesa ndefu akiwa Man Utd, nani imelipa? Amesababisha EPL imekuwa kama La liga, ligi ya timu moja au mbili tu!
Hivi haweki mpunga wake ( cha juu ) kweli huyu jamani ?Inawezekana ana mzuka wa kutumia pesa ndefu......we angalia alionunua wooote kwa pesa ndefu akiwa Man Utd, nani imelipa? Amesababisha EPL imekuwa kama La liga, ligi ya timu moja au mbili tu!
imebidi nicheke...Cc musolini
Kwa nini mkuuimebidi nicheke...
kwa huo uchambuzi hapo juu! Naheshimu mawazo yake!Kwa nini mkuu
Mapepo wekundu ni gundu kuuNiliwahi kuandika humu kwamba Paul Pogba si lolote si chochote , hawezi hata kufanana na Athuman China au Husein Masha , bei ile aliyouzwa mchezaji huyu ilikuwa ya kitapeli kabisa.
Kitendo cha Morinho mwenyewe kumtwanga benchi mchezaji huyu mbovu ni uthibitisho wa maandishi yangu.
Poleni sana wapenzi wa Man U kwa kuingizwa mkenge .
Inawezekana kabisaa au wakala wanaongea lugha moja.....kweli Lukaku kwa 75?Hivi haweki mpunga wake ( cha juu ) kweli huyu jamani ?
Ukimaanisha?Kwani Morinho anafundisha timu ngapi EPL ?
Hiyo ya Lukaku hii uchunguzi ukifanyika Morinho anafungwa jela .Inawezekana kabisaa au wakala wanaongea lugha moja.....kweli Lukaku kwa 75?