Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Niliwahi kuandika humu kwamba Paul Pogba si lolote si chochote, hawezi hata kufanana na Athuman China au Husein Masha, bei ile aliyouzwa mchezaji huyu ilikuwa ya kitapeli kabisa.
Kitendo cha Morinho mwenyewe kumtwanga benchi mchezaji huyu mbovu ni uthibitisho wa maandishi yangu.
Poleni sana wapenzi wa Man U kwa kuingizwa mkenge.
Kitendo cha Morinho mwenyewe kumtwanga benchi mchezaji huyu mbovu ni uthibitisho wa maandishi yangu.
Poleni sana wapenzi wa Man U kwa kuingizwa mkenge.