Angalia pia alivyopigwa kwa Sanchez. Jamaa mpira sasa unagoma akipewa mpira wanamnyang'anya ile mipira juhudi zote kumbe Arsenal style yao ilikuwa inamwinua anaonekana bonge la mchezaji. Ona Miki tayari style ya Arsenal inavyompaisha. Juzi niliona Sanchez kila akipewa mpira haendi kokote ametolewa na kuingizwa kinda Rashford mpira ukafufuka
Hivi lini kiwango chake kilikuwa juu ?Kiwango kimeshuka
Jikite kwenye mada mjomba .Naona frustration za siasaa waleta huku kwny futball hebu tuachie na soccer letu
Na Virgil pia!!!Pogba wa kawaida sana ila Mourinho keshazoea kupigwa kila deal. Hebu ona kwa Lukaku
Unatazamaga match za man u?Hivi lini kiwango chake kilikuwa juu ?
Ndio , nishamuona mara kadhaa akifunga vigoli vya ndondokela na viassist vya bahatisha ndulute .Unatazamaga match za man u?
Hakuwa na thamani ile special one alitutapeli sana alitakiwa kuwa segerea kwa ubadhilifuNiliwahi kuandika humu kwamba Paul Pogba si lolote si chochote, hawezi hata kufanana na Athuman China au Husein Masha, bei ile aliyouzwa mchezaji huyu ilikuwa ya kitapeli kabisa.
Kitendo cha Morinho mwenyewe kumtwanga benchi mchezaji huyu mbovu ni uthibitisho wa maandishi yangu.
Poleni sana wapenzi wa Man U kwa kuingizwa mkenge.
Leo kawa mtamu.Bora Pogba, yule Lukaku ni hasara kabisa,no mzito mno.
Wewe unataka akwende timu gani..?Ushauri - Pogba atafute timu nyingine , leo tena katandikwa benchi !
W. Ben Yedder!!!!Man U Manuuuuuuu