Angalia pia alivyopigwa kwa Sanchez. Jamaa mpira sasa unagoma akipewa mpira wanamnyang'anya ile mipira juhudi zote kumbe Arsenal style yao ilikuwa inamwinua anaonekana bonge la mchezaji. Ona Miki tayari style ya Arsenal inavyompaisha. Juzi niliona Sanchez kila akipewa mpira haendi kokote ametolewa na kuingizwa kinda Rashford mpira ukafufuka
- Anthony Martial
Man Utd
142 per goal
1279 played
9Goals scored
4 Assists
- Alexandre Lacazette
Arsenal
202 per goal
1821 played
9Goals scored
3 Assists