Jose Mourinho ameingiza Tsh. Bilioni 255 za fidia kwa kufukuzwa kazi

Rushwa anakula na viongozi wa Timu wanamwambia tunakufukuza kinyume Cha taratibu halafu buruza timu mahakamani ukishinda ukalipwa fidia tunagawana Hela kazoea huo mchezo .Wawakodi Takukuru wa Tanzania wako vizuri wakachunguze hilo swala

Takukuru wanaweza vizuri tu

Wawape tenda Takukuru
Hakuna kitu km hicho. Hilo la kuvunja mkataba ni moja ya vipengele vya mkataba wa kazi.

Unawaza kibongo sana
 
Kuna harufu ya Rushwa Tena kubwa kati yake na viongozi wa hizo timu
Ukielimishwa elewa, duniani ni wapi kuna klabu isiyovunja mkataba. Lazima alipwe kulingana na mkataba.

Kila mkataba una mlango wa kuingia na wa kutokea.
 
HUO MPUNGA MORINYO ANAWEZA JENGA BARABARA YA MLANDIZI - CHALINZE tukamlipa tozo mpaka vitukuuu!
Waafrika tuna laaana!
 
Rushwa anakula na viongozi wa Timu wanamwambia tunakufukuza kinyume Cha taratibu halafu buruza timu mahakamani ukishinda ukalipwa fidia tunagawana Hela kazoea huo mchezo .Wawakodi Takukuru wa Tanzania wako vizuri wakachunguze hilo swala

Takukuru wanaweza vizuri tu

Wawape tenda Takukuru
Wewe lazima utakua mfuasi wa Ccm.maana wao ndio wenye mawazo ya hivi.Mnachokifanya nchi hii mnafikiri na uko nchi za wenye akili wanakifanya.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Rushwa anakula na viongozi wa Timu wanamwambia tunakufukuza kinyume Cha taratibu halafu buruza timu mahakamani ukishinda ukalipwa fidia tunagawana Hela kazoea huo mchezo .Wawakodi Takukuru wa Tanzania wako vizuri wakachunguze hilo swala

Takukuru wanaweza vizuri tu

Wawape tenda Takukuru
Hujui sheria za mpira kwa wenzetu dogo
 
Back
Top Bottom