Jose Mourinho ameingiza Tsh. Bilioni 255 za fidia kwa kufukuzwa kazi

Hakuna kitu km hicho. Hilo la kuvunja mkataba ni moja ya vipengele vya mkataba wa kazi.

Unawaza kibongo sana
 
Kuna harufu ya Rushwa Tena kubwa kati yake na viongozi wa hizo timu
Ukielimishwa elewa, duniani ni wapi kuna klabu isiyovunja mkataba. Lazima alipwe kulingana na mkataba.

Kila mkataba una mlango wa kuingia na wa kutokea.
 
HUO MPUNGA MORINYO ANAWEZA JENGA BARABARA YA MLANDIZI - CHALINZE tukamlipa tozo mpaka vitukuuu!
Waafrika tuna laaana!
 
Wewe lazima utakua mfuasi wa Ccm.maana wao ndio wenye mawazo ya hivi.Mnachokifanya nchi hii mnafikiri na uko nchi za wenye akili wanakifanya.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hujui sheria za mpira kwa wenzetu dogo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…