Jose Mourinho: Mwanadamu anaishi mara moja tu

Its Pancho

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2018
Posts
15,966
Reaction score
26,404
Iliwahi kumtokea Adolf Hitler. mbabe asiyepigika.. lakini leo yuko wapi??. iliwahi kumtokea bondia mahiri kuwahi kutokea Muhammad allí.. Leo yuko wapi?.siku zote mwanadamu anazaliwa, na kuishi mara moja tuu... ndiyo ni mara moja tuu..
nikimtizama José mourinho. kocha mwenye mafanikio, mwenye kila aina ya kombe!.. asiyeshindwa na kitu!.. kabadilika sana. ndiyo kabadilika.. kwanza José anaamini mafanikio yake yameletwa na watu weusi! wakati yuko chelsea alimtumia drogba akamuamini na kumpa nafasi.. naye drogba hakumuangusha!! Alifanya inavyotakiwa.. mpaka ikafikia kipindi mourinho akaoa mke muangola.. akajenga imani na weusi.. akaamini kupitia weusi, nao hawakumuangusha,
Lakini alikosea sanaa, alidhani mwanadamu anazaliwa mara mbili! sasa yupo old trafford!!
alidhani lukaku atakuwa kama drogba! Aliwaacha mastraiker wa kutisha. akamchukua lukaku, aliamini lukaku angekuwa drogba Mpya..aliamini pogba angekuwa Michael essien Mpya!
Aliamini Eric baily angekuwa zaidi ya ashley cole! hakujua mwanadamu anaishi mara moja,
Leo hii anaonekana kocha mbovu! kisa chake na pogba wanajua wenyewe. kilichobaki Kwa José ni kuondoka.. hakuna jinsi... nyakati zimebadilika sanaa..
"mwanadamu anaishi mara moja "

Mchizi kichizi.
 
Nimeamini pasi na shaka. Si wabongo wengi wanaelewa soka. Tazama ma fans wa ku dead wa pale OT wanavyomkubali Mou na kumdis Ed Woodward.

Soka limebadilika. Man U kama club hawabadilika. Waarabu wa mafuta wameharibu soka kwa kutumia pesa. Man U km club wanapaswa kukubaliana na hali halisi. Waweke pesa kwenye soka.

Niwakumbushe tu. Msimu uliopita Man U walikuwa nafasi ya pili kwenye ligi. Km sio waarabu wa Man City basi yamkini Man U wangekuwa ndio mabingwa pasi na shaka. Nafasi hio ndio nafasi bora kwenye ligi tangu Sir Alex Ferguson aiache Man U. Man U ya Mou kwa msimu wa kwanza walichukua Europa. Hayo ndio mafanikio ya makubwa ya Man U tangu Sir Alex Ferguson aiache.

Sielewi, mnatumia kigezo gani kusema Mou amekwisha. Ni Mou huyu huyu ambaye amelia sana na usajili wa mabeki, hakupata hata mmoja. Siamini km Mou wa Mwezi May (mwisho wa ligi Man U nafasi ya 2) na Mou wa mwezi wa Aug (mwanzo wa ligi Mou anakandwa tu) amekwisha kiasi hicho.

Naomba, haya mafanikio ya soka si rahisi kuyapata kama mnavyodhani. Bado Mou ni kocha mkubwa mwenye mbinu na makali yale yale. Bahati mbaya alionayo ni aina ya club aliopo ambayo haitaki kubadilika kwa haraka.

Niwakumbushe tena. Man U baada ya kuona kuwa Ed Woodward anazingatia zaidi maslahi ya club kibiashara zaidi kuliko uwanjani, hatimaye Man U wameamua kuwa recruit watu wa namna mbili: Moja, sporting director kwa ajili ya usajili na pili, scouting and analysis staff kwa ajili ya kuwatazama vizuri aina ya wachezaji wa Man U.........
 
Niwakumbushe pia. Kwenye hili sakata la Mou hata Pep Guardiola amekiri kuwa yeye si kocha bora (Pep) bali ana bahati ya kwenda kwenye clubs zinazompa sapoti. Akaendelea kusema hata huko kwingine kuna makocha bora sana ila tu hawapo kwenye clubs wanazoweza kuwapa sapoti wanayohitaji. La, wangepata sapoti hata wao wangekuwa na mafanikio makubwa zaidi. Huyu ni Pep Guardiola
 
Mku

mkuu umenielewa??? me nmesema kabisa wazi José wachezaji ndo wanamuangusha!.. bado Ana meno ya kuvunja mifupa.. beki zenyewe ni kina smalling?? utaanzaje kumlaumu profesional kama José??
 
Niwakumbushe pia. Kwenye hili sakata la Mou hata Pep Guardiola amekiri kuwa yeye si kocha bora (Pep) bali ana bahati ya kwenda kwenye clubs zinazompa sapoti. Akaendelea kusema hata huko kwingine kuna makocha bora sana ila tu hawapo kwenye clubs wanazoweza kuwapa sapoti wanayohitaji. La, wangepata sapoti hata wao wangekuwa na mafanikio makubwa zaidi. Huyu ni Pep Guardiola
Mimi siamini pep ni kocha mzuri zaidi ya José...
kila alikopita alipewa kila alichotaka.. Lakini mpaka leo uefa inamshimda!.. licha ya kikosi chote kile cha buyern lakini uefa ilimshinda tena alipigwa vipigo vya mbwa koko.. wao bayern walimchukua pep for uefa maana ligi wameshaichoka... lakini ilimshinda... na man City ni hivyo hivyo tuu huko uefa anapigwa na kina Lyon licha ya kupewa kila kitu.. sidhani kama pep angeweza kubeba mzigo wa José hata siku tatu tuu..
 
Nakuelewa sana. Ww sasa ndo naamini unafuatilia soka vizuri kwa akili zako mwenyewe na sio za kushikiwa
 
Back
Top Bottom