Its Pancho
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 15,966
- 26,404
Iliwahi kumtokea Adolf Hitler. mbabe asiyepigika.. lakini leo yuko wapi??. iliwahi kumtokea bondia mahiri kuwahi kutokea Muhammad allí.. Leo yuko wapi?.siku zote mwanadamu anazaliwa, na kuishi mara moja tuu... ndiyo ni mara moja tuu..
nikimtizama José mourinho. kocha mwenye mafanikio, mwenye kila aina ya kombe!.. asiyeshindwa na kitu!.. kabadilika sana. ndiyo kabadilika.. kwanza José anaamini mafanikio yake yameletwa na watu weusi! wakati yuko chelsea alimtumia drogba akamuamini na kumpa nafasi.. naye drogba hakumuangusha!! Alifanya inavyotakiwa.. mpaka ikafikia kipindi mourinho akaoa mke muangola.. akajenga imani na weusi.. akaamini kupitia weusi, nao hawakumuangusha,
Lakini alikosea sanaa, alidhani mwanadamu anazaliwa mara mbili! sasa yupo old trafford!!
alidhani lukaku atakuwa kama drogba! Aliwaacha mastraiker wa kutisha. akamchukua lukaku, aliamini lukaku angekuwa drogba Mpya..aliamini pogba angekuwa Michael essien Mpya!
Aliamini Eric baily angekuwa zaidi ya ashley cole! hakujua mwanadamu anaishi mara moja,
Leo hii anaonekana kocha mbovu! kisa chake na pogba wanajua wenyewe. kilichobaki Kwa José ni kuondoka.. hakuna jinsi... nyakati zimebadilika sanaa..
"mwanadamu anaishi mara moja "
Mchizi kichizi.