SPECIAL TMN
JF-Expert Member
- Jan 3, 2014
- 1,111
- 807
Alipokuwa anasajili magalasa kama Sanchez hamkuona ? halafu kama mabeki ni wabovu mbona hata magoli ya kuotea nayo hamupati ? hivi unadhani Man city ina wachezaji wazuri sana eeeee !Hakuna kitu kibaya kutendea akili, nafsi na roho kama ku judge jambo kwa hisia, tamaa, hulka, silka, chuki na wivu.
Ina maana mnataka kusema kikosi cha Man U ni bora zaidi ya kikosi cha Man City?
Mnataka kusema kikosi cha Man U ni bora zaidi ya kikosi cha Liverpool?
Kikosi cha Man U ni bora zaidi ya kikosi cha Chelsea?
Ina maana mnataka kusema mmekwisha sahau Mou wa Porto? Porto kulikuwa na wachezaji gani?
Mmekwisha sahau Mou wa Chelsea? Aliyeleta Chelsea toka uvunguni hadi kwenye timu ya kuchukua mikoba?
Mmekwisha sahau Mou wa Inter Millan aliyechukua treble huku akiwatoa Barca wakiwa kwenye ubora wao wa karne?
Mmekwisha sahau Mou wa Man U yule aliyekuja msimu wa kwanza kasajili wachezaji watatu tu kachukua Europa, Community Shield, n.k. msimu wa kwanza?
Mmekwisha sahau Mou yule msimu uliopita alipeleka Man U nafasi ya pili ligi kuu, nafasi ambayo Man U haijawahi kufika tangu Sir Alex astaafu?
Mmekwisha sahau kuwa Klop, Pochetino wote walikuwa England muda tu lkn hadi sasa hawana hata bakuli sembuse kombe?
Mmekwisha sahau kwamba msimu uliopita kama sio Man city walio kwenye ubora mkubwa basi kombe la ligi likeenda Man U? Akina Klop, Conte na Pochetino walikuwa wapi?
Ina maana mmekwisha sahau namna Mou alivyokuwa analialia kuhusu kupatiwa walau mchezaji mmoja tu beki?
Ina maana hamuoni namna Man City, Liverpool na Chelsea wanavyofanya manunuzi?
Ina maana mmekwisha sahau kauli ya Ed Woodward kwamba matokeo ya Man U uwanjani hayana athari zozote za kibiashara (na hiki ndicho kilichofanya pasiwepo usajili wa maana msimu huu)
Makosa yanayofanywa na mabeki wa Man U ni ya Mou?
Ok. Tuseme hayo yamepita kwenu hayana maana tena. Sasa, kama mshabiki wa Soka wewe unadhani ukipewa hicho kikosi cha Man U cha sasa utafika nacho wapi????
Kwa waelewa wa soka, mtakubalina nami kuwa Ed Woodward ndio chanzo cha ubovu wa Man U. Lazima alipokuwa Gill David na Sir Alex mambo yalikuwa yanaenda vizuri kabisa.
Na kwa kuona hilo ndio maana wanamtafuta Sporting Director ambaye yeye atakuwa anajihusisha na usajili tu na Ed Woodward kujihusisha na masuala ya commercial ya club maana anashindwa kumudu nafasi zote mbili kwa mpigo.
Na ndio maana fans wa Man U mechi ya juzi waliwa pigia makofi mengi sana wachezaji pamoja na Mou japo game walipoteza. Hii ni kwa sababu wanaelewa wazi wapi tatizo la timu lipo.
Na kwa wafuatiliaji wa soka la ushindani, Man U kumuondoa Mou pale watakuwa na options chache sana za kupata makocha bora.
Mou bado ni kocha bora sana. Man U wanashindwa kukubaliana na wakati, kwamba soka la leo ni pesa. Beki ghali zaidi duniani yupo Liverpool, Golikipa ghali zaidi duniani yupo Liverpool na Chelsea, n.k. n.k
Punguzeni wivu na chuki binafsi.
We ni demu, na obvious mademu hawajui kuchambua vikosi.Alipokuwa anasajili magalasa kama Sanchez hamkuona ? halafu kama mabeki ni wabovu mbona hata magoli ya kuotea nayo hamupati ? hivi unadhani Man city ina wachezaji wazuri sana eeeee !
SAWASi kila anayeomba anapewa .
mkuu sasa jinsia zinahusu nini ?We ni demu, na obvious mademu hawajui kuchambua vikosi.
Pia ni muoga. Kama angeweza kutengeneza kikosi hiki cha Madrid kilichozeeka angekuwa ktk nafasi kubwa sana. Katika harakati za watu kujadili mrithi wa Mourinho jamaa wanasema yuko tactically limited.Mbona Zidane ni kocha mbovu sana !
Huwa hamuwezi kuchambua vikosi, mnafuataga mkumbo tu wa upepo unapoelekeamkuu sasa jinsia zinahusu nini ?
Mm hadi sasa najiuliza, kama kweli Zidane ni kocha haswa nini kilichomtoa Real Madrid kama sio kutaka kulinda rekodi yake?Pia ni muoga. Kama angeweza kutengeneza kikosi hiki cha Madrid kilichozeeka angekuwa ktk nafasi kubwa sana. Katika harakati za watu kujadili mrithi wa Mourinho jamaa wanasema yuko tactically limited.
Mkuu rekodi za Mou za karibuni ziko vipi?Hakuna kitu kibaya kutendea akili, nafsi na roho kama ku judge jambo kwa hisia, tamaa, hulka, silka, chuki na wivu.
Ina maana mnataka kusema kikosi cha Man U ni bora zaidi ya kikosi cha Man City?
Mnataka kusema kikosi cha Man U ni bora zaidi ya kikosi cha Liverpool?
Kikosi cha Man U ni bora zaidi ya kikosi cha Chelsea?
Ina maana mnataka kusema mmekwisha sahau Mou wa Porto? Porto kulikuwa na wachezaji gani?
Mmekwisha sahau Mou wa Chelsea? Aliyeleta Chelsea toka uvunguni hadi kwenye timu ya kuchukua mikoba?
Mmekwisha sahau Mou wa Inter Millan aliyechukua treble huku akiwatoa Barca wakiwa kwenye ubora wao wa karne?
Mmekwisha sahau Mou wa Man U yule aliyekuja msimu wa kwanza kasajili wachezaji watatu tu kachukua Europa, Community Shield, n.k. msimu wa kwanza?
Mmekwisha sahau Mou yule msimu uliopita alipeleka Man U nafasi ya pili ligi kuu, nafasi ambayo Man U haijawahi kufika tangu Sir Alex astaafu?
Mmekwisha sahau kuwa Klop, Pochetino wote walikuwa England muda tu lkn hadi sasa hawana hata bakuli sembuse kombe?
Mmekwisha sahau kwamba msimu uliopita kama sio Man city walio kwenye ubora mkubwa basi kombe la ligi likeenda Man U? Akina Klop, Conte na Pochetino walikuwa wapi?
Ina maana mmekwisha sahau namna Mou alivyokuwa analialia kuhusu kupatiwa walau mchezaji mmoja tu beki?
Ina maana hamuoni namna Man City, Liverpool na Chelsea wanavyofanya manunuzi?
Ina maana mmekwisha sahau kauli ya Ed Woodward kwamba matokeo ya Man U uwanjani hayana athari zozote za kibiashara (na hiki ndicho kilichofanya pasiwepo usajili wa maana msimu huu)
Makosa yanayofanywa na mabeki wa Man U ni ya Mou?
Ok. Tuseme hayo yamepita kwenu hayana maana tena. Sasa, kama mshabiki wa Soka wewe unadhani ukipewa hicho kikosi cha Man U cha sasa utafika nacho wapi????
Kwa waelewa wa soka, mtakubalina nami kuwa Ed Woodward ndio chanzo cha ubovu wa Man U. Lazima alipokuwa Gill David na Sir Alex mambo yalikuwa yanaenda vizuri kabisa.
Na kwa kuona hilo ndio maana wanamtafuta Sporting Director ambaye yeye atakuwa anajihusisha na usajili tu na Ed Woodward kujihusisha na masuala ya commercial ya club maana anashindwa kumudu nafasi zote mbili kwa mpigo.
Na ndio maana fans wa Man U mechi ya juzi waliwa pigia makofi mengi sana wachezaji pamoja na Mou japo game walipoteza. Hii ni kwa sababu wanaelewa wazi wapi tatizo la timu lipo.
Na kwa wafuatiliaji wa soka la ushindani, Man U kumuondoa Mou pale watakuwa na options chache sana za kupata makocha bora.
Mou bado ni kocha bora sana. Man U wanashindwa kukubaliana na wakati, kwamba soka la leo ni pesa. Beki ghali zaidi duniani yupo Liverpool, Golikipa ghali zaidi duniani yupo Liverpool na Chelsea, n.k. n.k
Punguzeni wivu na chuki binafsi.
Jamaa muoga tu. Mzee ndio atue Old Trafford na presha za Waingereza, atamudu kweli 🙂!?Mm hadi sasa najiuliza, kama kweli Zidane ni kocha haswa nini kilichomtoa Real Madrid kama sio kutaka kulinda rekodi yake?
haya bhana !Huwa hamuwezi kuchambua vikosi, mnafuataga mkumbo tu wa upepo unapoelekea
Tangu akiwa Man U kachukua Europa, Community, n sijui kikombe gani kingine. Huo ukiwa na msimu wa kwanza akisajili wachezaji watatu tu.Mkuu rekodi za Mou za karibuni ziko vipi?
Hawezi kuja hata kwa crane. Unadhani yeye hajielewi? Yaan aache Madrid bora zaidi ya Man U halafu ndo aje Man U thubutu.Jamaa muoga tu. Mzee ndio atue Old Trafford na presha za Waingereza, atamudu kweli 🙂!?
Pochetino anaweza kuwa tayari kuja, ukizingatia Tottenham hawakumpa ata senti ya kufuta vumbi kikosiSimeone na Pochetino safi kabisa ! lakini je wako tayari kuja Man U ?
Rudi ktk siasa huku sio mahala pako hata pep kasajili magalasa wakina nolito anashindwa kuhojiwa kisa kombe subir akoseAlipokuwa anasajili magalasa kama Sanchez hamkuona ? halafu kama mabeki ni wabovu mbona hata magoli ya kuotea nayo hamupati ? hivi unadhani Man city ina wachezaji wazuri sana eeeee !