Jose Mourinho ni kocha mbovu anayebebwa na pesa za usajili

Umeeleza vzuri tu mkuu, sema unaajua kinachomcost mou anaongea sana kias kwamba waandish wa hbari wanamftilia

Sent using Jamii Forums mobile app
Watu wengi wasichokijua ni kwamba. Man U huwa ina make headlines pasipo headlines kwa upande wa club, na Mou huwa ana make headlines kwa upande wa makocha.

Trust me, story nyingi za Man U na Mou ni za kupikwa tu. Kwa sababu, zinauzika people are making money through Man U and Mou news.
 
Pochetino anaweza kuwa tayari kuja, ukizingatia Tottenham hawakumpa ata senti ya kufuta vumbi kikosi
Ila mashabiki wa united washangilie mpira wa pasi tu hayo mambo ya liverpool hatuyataki bora tuendelee kupigwa kuliko kushangilia mpira usio na hata chembe ya ubingwa fulani hata carabao
 
Hakuna kitu kibaya kutendea akili, nafsi na roho kama ku judge jambo kwa hisia, tamaa, hulka, silka, chuki na wivu.

Ina maana mnataka kusema kikosi cha Man U ni bora zaidi ya kikosi cha Man City?

Mnataka kusema kikosi cha Man U ni bora zaidi ya kikosi cha Liverpool?

Kikosi cha Man U ni bora zaidi ya kikosi cha Chelsea?

Ina maana mnataka kusema mmekwisha sahau Mou wa Porto? Porto kulikuwa na wachezaji gani?

Mmekwisha sahau Mou wa Chelsea? Aliyeleta Chelsea toka uvunguni hadi kwenye timu ya kuchukua mikoba?

Mmekwisha sahau Mou wa Inter Millan aliyechukua treble huku akiwatoa Barca wakiwa kwenye ubora wao wa karne?

Mmekwisha sahau Mou wa Man U yule aliyekuja msimu wa kwanza kasajili wachezaji watatu tu kachukua Europa, Community Shield, n.k. msimu wa kwanza?

Mmekwisha sahau Mou yule msimu uliopita alipeleka Man U nafasi ya pili ligi kuu, nafasi ambayo Man U haijawahi kufika tangu Sir Alex astaafu?

Mmekwisha sahau kuwa Klop, Pochetino wote walikuwa England muda tu lkn hadi sasa hawana hata bakuli sembuse kombe?

Mmekwisha sahau kwamba msimu uliopita kama sio Man city walio kwenye ubora mkubwa basi kombe la ligi likeenda Man U? Akina Klop, Conte na Pochetino walikuwa wapi?

Ina maana mmekwisha sahau namna Mou alivyokuwa analialia kuhusu kupatiwa walau mchezaji mmoja tu beki?

Ina maana hamuoni namna Man City, Liverpool na Chelsea wanavyofanya manunuzi?

Ina maana mmekwisha sahau kauli ya Ed Woodward kwamba matokeo ya Man U uwanjani hayana athari zozote za kibiashara (na hiki ndicho kilichofanya pasiwepo usajili wa maana msimu huu)

Makosa yanayofanywa na mabeki wa Man U ni ya Mou?

Ok. Tuseme hayo yamepita kwenu hayana maana tena. Sasa, kama mshabiki wa Soka wewe unadhani ukipewa hicho kikosi cha Man U cha sasa utafika nacho wapi????

Kwa waelewa wa soka, mtakubalina nami kuwa Ed Woodward ndio chanzo cha ubovu wa Man U. Lazima alipokuwa Gill David na Sir Alex mambo yalikuwa yanaenda vizuri kabisa.

Na kwa kuona hilo ndio maana wanamtafuta Sporting Director ambaye yeye atakuwa anajihusisha na usajili tu na Ed Woodward kujihusisha na masuala ya commercial ya club maana anashindwa kumudu nafasi zote mbili kwa mpigo.

Na ndio maana fans wa Man U mechi ya juzi waliwa pigia makofi mengi sana wachezaji pamoja na Mou japo game walipoteza. Hii ni kwa sababu wanaelewa wazi wapi tatizo la timu lipo.

Na kwa wafuatiliaji wa soka la ushindani, Man U kumuondoa Mou pale watakuwa na options chache sana za kupata makocha bora.

Mou bado ni kocha bora sana. Man U wanashindwa kukubaliana na wakati, kwamba soka la leo ni pesa. Beki ghali zaidi duniani yupo Liverpool, Golikipa ghali zaidi duniani yupo Liverpool na Chelsea, n.k. n.k

Punguzeni wivu na chuki binafsi.
Naona umeangukwa machozi ya kutosha, sasa unataka kusaidiwa nini wewe na Maureen wako maana usajili wa fedha nyingi kafanya na mishahara minono kina Sanchoka wanalamba. Tumfanyeje? Apewe akiba yote awasajili Messi, Neymar na Ronaldo?

Porto kuchukua UCL ni chances tu hata Monaco na Chelsea mbovu walipata
 
Ila mashabiki wa united washangilie mpira wa pasi tu hayo mambo ya liverpool hatuyataki bora tuendelee kupigwa kuliko kushangilia mpira usio na hata chembe ya ubingwa fulani hata carabao
Mpira wa pasi ambao hauna chembe ya ubingwa? Unataka tucheze mpira wa kuznguka uwanjani tu bila kujua nini wachezaji wanafanya na still tunagongwa 3 kizembe kabisa na timu inayoongozwa na kocha huyo alokuwa hajachukua ubingwa?

Sifikiri kama hata mpira wenyewe unatizama ukaona uharo wa MUFC.

Tulishafungwa 6 na MCFC wakati kocha akiwa SAF, lakini hatujawahi kuonesha perfomance mbovu kama tulopigwa 3 na totenham.

Tushafungwa sana wakati wa SAF, lakini unajua kabisa kama siku hio wachezaji wamefanya kila mbinu kuokoa Jahazi lakini wameshindwa.

Unataka tuongozwa na mtu ambae anaona jahazi linazama lakini bado anaamini halizami?

Wewe kweli ni fan wa MU fans na sio fan wa MU.
 
Ukipigwa 6 halafu hubebi ubingwa unafanya nini kama sio kubebewa mabango? Alikuwa akipigwa 6 kabatin kuna vitu sasa unapiga pasi kama spurs mwisho wa msimu hamna kitu hata game ya final na ajax tulipak basi mbona hamkuacha kushangilia ubingwa? Mkiwa mnafurahia ushindi na nyakat ngumu vumilieni
 
SAF kapigwa sita lakini hajabebewa bango. Unajua kwanini?

Unaujua mpira lakini ndugu yangu? Tunatambua kuwa tunapitia kipindi cha mpito ambacho kitakuwa kigumu. Kwa taarifa yako fans wanaexpections na wamiliki wanakuwa na expectations. Hakuna shabiki ambae aliamini MOYES atachukua ubingwa, kila mtu alijua kuwa kipindi kigumu kimeanza.

Tatizo ambalo wewe hulijui, Tumemnunua PGBA for 80M pounds. for what perfomance so far? hata wewe ukienda Hotel ukalipa milioni moja kwa siku, lakini unakuta mhudumu resta anakupita hachukui oda yako lazima utakuwa furious hata kama hotel nzuri vipi. Tumemnunua Lukaku kwa mapesa tele, for what? Wakati MUFC inaspend 200M kununua wachezaji wawili, Wenzetu wanaspend 200m kununua watano na wote ni wazuri kuliko tuliowanunua sie! sasa what is the point of spending so much money for players that dont perform as they are supposed to?
 
Hivi unamjua bebe?
 
Galactico ya madrid na huu usajili wa pogba nani alitakiwa awe na matumaini ya ubingwa halafu unahoji et ushabiki na kuujua mpira kuna muda muwe mnatumia busara kuuliz watu usajili wa mchezaj mmoja uje utegemee ubingwa utakuwa na wazimu kabisa
 
Wapi nimesema kuwa ninategemea ubingwa kwa usajili wa mchezaji mmoja? mbona unajitungia vitu?

Nimezungumza perfomance ya mchezaji. Galactico ya madrid wachezaji walikuwa wanacheza vizuri, huwezi kufananisha na uharo tunaouona uwanjani saiv.

Nakukumbusha, mi sizungumzii ubingwa, nazungumzia perfomance! unanunua gari la milioni 60 halafu bovu mwenzako amenunua ya milioni tano anakupita njiani anakucheka. WISE SPENDING!!!!!
 
Mzee pogba mwenyewe anacheza na watu gani? Daaa so sad ndo.mana hata yeye huwa anachanganyikiwa kweli lingard akajenge combination na pogba? Au sanchez akajenge kombinetion na young????

City alinunua nolito kama striker akafeli kapiga chini kachukua jesus

Kamchukua johnstone aliyumba kamleta lapote

Kachukua bravo kazingu kaleta kipa mwingine

Sasa kama aguero alikuwepo kwa nini apewe hela za striker?

Kulikuwa na silva,kdb na fernandinho lakin kaongeza gundogan,benardo silva kulikuwa na sterling lakin bado kachukua sane hivi nyie hamuoni mapungufu kwetu???? Unataka kocha acheze mpira mzur upi kama hapatiw watu wa nfumo wake?
 
Kwa taarifa yako fans wanaexpections na wamiliki wanakuwa na expectations.

Hapa umepaona? Usajili mdogo vile uwe na matumaini ya ubingwa? Watu wamenunua wakina ronaldo de lima hadi wakina kaka kwa pesa za maana bado aliendelea kula vichapo na wakina canavaro bek aliebeba uchezaj bora wa dunia labda uniambie ulikuwa una maana gani kuhusu ubingwa

Ukinambia uchezaj mbovu bado nashangaa mourinho anafahamika mkabaji yani aende united ageuke pep? huu utani

Ilikuwaje aende united wakat ni mkabaji? Ile timu ina shida sana
 
Mzee pogba mwenyewe anacheza na watu gani? Daaa so sad ndo.mana hata yeye huwa anachanganyikiwa kweli lingard akajenge combination na pogba? Au sanchez akajenge kombinetion na young????

City alinunua nolito kama striker akafeli kapiga chini kachukua jesus

Kamchukua johnstone aliyumba kamleta lapote

Kachukua bravo kazingu kaleta kipa mwingine

Sasa kama aguero alikuwepo kwa nini apewe hela za striker?

Kulikuwa na silva,kdb na fernandinho lakin kaongeza gundogan,benardo silva kulikuwa na sterling lakin bado kachukua sane hivi nyie hamuoni mapungufu kwetu???? Unataka kocha acheze mpira mzur upi kama hapatiw watu wa nfumo wake?

Nani anapanga hizo combinations? Nani anamcheza Pogba na Lingard?

Ona sasa unasifia kazi anayoifanya Pep Man city..... Mchezaji akizingua unamfanya nini? na Unafanya nini baadae?
 
Sasa ukiuza manchester united nani anakupa pesa? Pep hata hajauza pesa kapewa hizo combination zinakuja baada ya kukosa watu unafikir kocha anapenda? Hamna niliposifia soma uelewe matumiz ya pande zote
 
Back
Top Bottom