Jose Mourinho ni kocha mbovu anayebebwa na pesa za usajili

Kweli wewe hovyo sana vidic na ferdinand hawakuwepo nyuma? Scholes,giggs rooney walikuwa cheap? Nani na evra walikuwa wamesepa ndo mana nimekwambia wewe mshamba huoni kama rvp kaja timu ikiwa na msingi wake?

Dogo hao nimekutajia kwa uchache tu
Mbona unaongea upupu....
Nikuulize machache tu;

Giggs kanunuliwa kiasi gani na Scholes kanunuliwa kiasi gani?

Kwani nyuma hakuna Baily, Lindelof, Luke shaw, Jones, Smalling De Gea......?

Rooney tumenunua kwa 37M tu. Na ameperform vizuri sana... unamfananisha Lukaku ambae tumespend 75M?

Unajua unapozidi kuandika, ndipo unapoonesha umbumbu wako.....
 
Nimewahi kuandika humu jambo kama hili lakini wadau uchwara wakanipinga , lakini sasa imethibitika kwamba bila fungu Morinho si lolote.

Ni kocha asiye na mbinu zozote za ufundishaji zaidi ya kupaki YUTONG , sasa maji yamekwisha mfika kwenye kidevu , Je ni kweli kwamba Man U haina wachezaji wazuri ?View attachment 850095
Kumbuka kuwa Mourinho alijulikana zaidi na kuanza kumgombea baada ya kuipa ubingwa wa UEFA Champions League timu ya Sporting Lisbon ya Ureno ambayo haikuwa hata na mchezaji mmoja wa world class.

Unawezaje kusema kocha wa aina hiyo siyo lolote?

Vv

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukweli wa kwamba kocha anacheza soka bovu au wewe kucheza mpira unajua? Hizo swaga nimekwambia za kishamba huna tofauti na watoto ambao wanawalingishia wenzao magari ya serikali ni ya baba zao wakat ni madereva mpira huwezi kucheza na hujacheza shabikiaga tu
ahahahaha.... lete hoja sio vioja ndugu.... Kocha anacheza soka bovu na linaonekana uwanjani, ndio maana nkasema wewe mpira umeanza kushabikia wakati wa moyes pengine..... Unanunua mchezaji kwa 80M akisha mtu yupo mbele yake anaenda kutoa mpira nje
 
Mbona unaongea upupu....
Nikuulize machache tu;

Giggs kanunuliwa kiasi gani na Scholes kanunuliwa kiasi gani?

Kwani nyuma hakuna Baily, Lindelof, Luke shaw, Jones, Smalling De Gea......?

Rooney tumenunua kwa 37M tu. Na ameperform vizuri sana... unamfananisha Lukaku ambae tumespend 75M?

Unajua unapozidi kuandika, ndipo unapoonesha umbumbu wako.....
Wewe ndo unaongea upupu kwamba Rvp kaja tumebeba ubingwa huo ubingwa ulibeba na wakina bailly?

Unajua wewe unajidai kuujua mpira lakin kichwan hamna kitu huyo rooney aliwakuta wakina nani ktk timu? Timu ya sasa ina misingi gani yani timu sir alex ifanane na mourinho huu si uchizi sasa

Ukinambia scholes na giggs bei gani bado nakuona huna kitu kichwani nimekuuliza Rvp alipokuja hakuwakuta hao wapambanaji?

Rvp alibak wakina scholes na giggs walistaafu alifunga goli ngapi?

Misingi ya timu ikitoweka hata umlete mess utapondwa tu
 
ahahahaha.... lete hoja sio vioja ndugu.... Kocha anacheza soka bovu na linaonekana uwanjani, ndio maana nkasema wewe mpira umeanza kushabikia wakati wa moyes pengine..... Unanunua mchezaji kwa 80M akisha mtu yupo mbele yake anaenda kutoa mpira nje
Vioja naviona kwako Kocha nacheza soka bovu ilikuwaaje mwez wa kwanza kaongezewa mkataba wakati wa awali ulikuwa unaisha mwaka huu?
 
Halafu kwa kipindi kile hiyo 24m kwa mtu aliekuwa na maika 29 injury prone unaona ilikuwa pesa ndogo? Eti kocha mjuzi wa mpira
24M ilikuwa ndogo kwa mtu kama RVP. kwa sababu kwenye season yake ya kwanza ameonesha kuwa 24M haikuwa lolote na tumefanya right investment.
 
Mbona unaongea upupu....
Nikuulize machache tu;

Giggs kanunuliwa kiasi gani na Scholes kanunuliwa kiasi gani?

Kwani nyuma hakuna Baily, Lindelof, Luke shaw, Jones, Smalling De Gea......?

Rooney tumenunua kwa 37M tu. Na ameperform vizuri sana... unamfananisha Lukaku ambae tumespend 75M?

Unajua unapozidi kuandika, ndipo unapoonesha umbumbu wako.....
Hivi unajua soko la wachezaji ktk miaka hii ni tofauti na kipindi ananunuliwa rooney?...kipindi hiki team hazisubiri mpk mshambuliaji awe na jina kubwa ndio anunuliwe kwa pesa nyingi.
Washambuliaji wamekua na thamani zaidi,mchezaji akiwika msimu mmoja tu basi inatosha kumfanya anunuliwe kwa mamilioni ya pounds.
Na isitoshe hakuna team inayotegemea kupandisha chipukizi ili waje kufanya vizuri,chipukizi wanapandishwa na wachezaji bora wananunuliwa.
Giggs alisema, enzi wao wanacheza ilikuwa ngumu sana kupata nafasi wenye kikosi cha kwanza lkn wakipata basi watahakikisha wanabaki huko huko, tofauti na sasa ambapo chipukizi wengi wanapata nafasi kwenye kikosi cha kwanza lakini matokeo yake hawafanyi vizuri na kuishia kutolewa kwa mikopo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
24M ilikuwa ndogo kwa mtu kama RVP. kwa sababu kwenye season yake ya kwanza ameonesha kuwa 24M haikuwa lolote na tumefanya right investment.
Ndio ilikuwa ndogo timu ilikuwa na watu gani?

Na kocha alikuwa nani yani kaa hii ajabu alichofanya elex afanye mouronho ya ronaldo afanye sanchez hizi bangi
 
Wewe ndo unaongea upupu kwamba Rvp kaja tumebeba ubingwa huo ubingwa ulibeba na wakina bailly?

Unajua wewe unajidai kuujua mpira lakin kichwan hamna kitu huyo rooney aliwakuta wakina nani ktk timu? Timu ya sasa ina misingi gani yani timu sir alex ifanane na mourinho huu si uchizi sasa

Ukinambia scholes na giggs bei gani bado nakuona huna kitu kichwani nimekuuliza Rvp alipokuja na hakuwakuta hao wapambanaji?

Rvp alibak wakina scholes na giggs walistaafu alifunga goli ngapi?

Misingi ya timu ikitoweka hata umlete mess utaponda tu

😀 😀 😀 mwisho wa siku utaishia pale pale kuwa MOU ndio responsible wa failure zetu uwanjani.

Hao unaowazungumza, wamenunuliwa kwa kiasi gani na how did they deliver?

Hao aliowanunua MOU walinunuliwa kwa kiasi gani and how did they deliver?
 
Kaka alinunuliwa kwa pesa gani? Alifanya nini?
 
Ndio ilikuwa ndogo timu ilikuwa na watu gani?

Na kocha alikuwa nani yani kaa hii ajabu alichofanya elex afanye mouronho ya ronaldo afanye sanchez hizi bangi
Kwaio unakubali kuwa MOU hana uwezo na hajui kuspend wisely anachopewa?
 
Ac milan kwenda madrid
Very good.

Unazungumzia kipindi RM walikuwa na commercial interest na sio winning titles interest.

Ndio maana nna mashaka na ujuaji wako wa Mpira.... Kipindi hicho kama unakumbuka vizuri, mchezaji akiwika tu sehemu, madrid hao wanatoa ofa wanamchukua siku ya pili unasikia madrid wamejilipa na kupata faida kwa kuuza jezi za mchezaji! Hii ndio sacrifice waliofanya madrid. They bought players not because of their perfomance, lakini ni kwa sababu ya biashara. Unataka MUFC iwe hivi sio? Kwa sababu currently, MUFC imechukua hii kazi ya kibiashara zaid kuliko kimpira. Ivi ndivo unavotaka wewe iwe au sivo? business first and football later!
 
Masikini ya Mungu eti commercial interest Mungu akusamehe makocha waliofukuzwa kwa kushindwa kuipa la liga ilikuwa ni usajili wa biashara??? Kama ni baishara kwa nini makocha wafukuzwe unajidai kuujua mpira mzee ficha ujinga wako nakwambia tena acha ushamba wa kujidai kuujua mpira siwez kukwambia ni kwa muda gani nipo ktk football maana mimi si limbukeni

Kwa muda gani madrid wameteseka kwenye kimvuli cha barca? Daaa mzee swaga zako za kusema unajua unaongea nani kwa sasa hazina mashiko.
 
Kwa hiyo pep kwa bravo,johnstone na nolito ilikuwaje?
Ofcourse kachemka!!..

Nihadithie alifanya nini baada ya kujua amechemka?

Hapa nakupa summery ya spendings kidogo uone how wisely PEP spent....

Manchester United 2016-17 -Total spent = 145.3m - 3 Players
Manchester City 2016-17 – Total spent = £167.15m - 8 Players
Difference of amount spent is 21.85 Difference in player brought in 5 Players

Manchester United 2017-18 – Total spent = £146m - 3 Players
Manchester City 2017-18 – Total spent = £198.7m - 5 players
Difference of amount spent is 52.7 Difference in player brought in 2 Players

Numbers zinazungumza nani anajua kujenga timu na nani anajua kuvuruga
 
Masikini ya Mungu eti commercial interest Mungu akusamehe makocha waliofukuzwa kwa kushindwa kuipa la liga ilikuwa ni usajili wa biashara??? Kama ni baishara kwa nini makocha wafukuzwe unajidai kuujua mpira mzee ficha ujinga wako nakwambia tena acha ushamba wa kujidai kuujua mpira siwez kukwambia ni kwa muda gani nipo ktk football maana mimi si limbukeni

Kwa muda gani madrid wameteseka kwenye kimvuli cha barca? Daaa mzee swaga zako za kusema unajua unaongea nani kwa sasa hazina mashiko.
Msee... Kafukuzwa Ancelotti aliechukua UEFA, you think they care if you win titles or not?

BTW, problem ya madrid, sio kocha anejenga timu, ni presida!!! na ndio maana hawadumu na kocha... Muulize MOU na abramovich saga la Shevchenko....
 
Ofcourse kachemka!!..

Nihadithie alifanya nini baada ya kujua amechemka?

Hapa nakupa summery ya spendings kidogo uone how wisely PEP spent....

Manchester United 2016-17 -Total spent = 145.3m - 3 Players
Manchester City 2016-17 – Total spent = £167.15m - 8 Players
Difference of amount spent is 21.85 Difference in player brought in 5 Players

Manchester United 2017-18 – Total spent = £146m - 3 Players
Manchester City 2017-18 – Total spent = £198.7m - 5 players
Difference of amount spent is 52.7 Difference in player brought in 2 Players

Numbers zinazungumza nani anajua kujenga timu na nani anajua kuvuruga
Unajenga timu ambayo ina key players tayar acha utani

Kdb
Aguero
Fernandinho
Silva
Company

Sasa basi pep kakuta timu ambayo ipo ktk msingi yake na falsafa yake unajua moyes na van gal walichofanya? Hiv unafikir tatizo la timu limeanzia kwa mourinho?
 
Back
Top Bottom