Mbona unaongea upupu....Kweli wewe hovyo sana vidic na ferdinand hawakuwepo nyuma? Scholes,giggs rooney walikuwa cheap? Nani na evra walikuwa wamesepa ndo mana nimekwambia wewe mshamba huoni kama rvp kaja timu ikiwa na msingi wake?
Dogo hao nimekutajia kwa uchache tu
Nikuulize machache tu;
Giggs kanunuliwa kiasi gani na Scholes kanunuliwa kiasi gani?
Kwani nyuma hakuna Baily, Lindelof, Luke shaw, Jones, Smalling De Gea......?
Rooney tumenunua kwa 37M tu. Na ameperform vizuri sana... unamfananisha Lukaku ambae tumespend 75M?
Unajua unapozidi kuandika, ndipo unapoonesha umbumbu wako.....