Jose Mtambo na Jay Mo nani mkali?

Jose Mtambo na Jay Mo nani mkali?

Viol

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2009
Posts
25,420
Reaction score
18,298
Wakuu hapo nani unamkubali?
 
Mchopanga yuko vizuri kuliko Mtambo. Sikiliza album ya "Ulimwengu ndio mama". Utuletee feedback.
Acha kumfananisha Jay Mo na vitu vya ajabu ajabu
Hahaha unachekesha sana..... Jose Mtambo ukamfananishe na Mo Technic,
Seriously!!!?
Mo Tech jamaa yupo vizuri sana,mtambo yupo vizuri ila tatizo pombe nyingi sana ,hapo ndipo anapofeli.
Binafsi namkubali Joseverest
Jose Mtambo ndo nani?
Kuna hii Ngoma ya Roma mkatoliki,msimchukulie poa Jose Mtambo
 
Wengi mnamkubali mchopanga ila Jose naye ana kitu special na flow ya kivyake
Kwani MO ana flow kama nani!!?... mbona kama ulikuja na majibu yako mfukoni tayari.
 
Back
Top Bottom