Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mchopanga yuko vizuri kuliko Mtambo. Sikiliza album ya "Ulimwengu ndio mama". Utuletee feedback.Wakuu hapo nani unamkubali?
Mchopanga yuko vizuri kuliko Mtambo. Sikiliza album ya "Ulimwengu ndio mama". Utuletee feedback.
Acha kumfananisha Jay Mo na vitu vya ajabu ajabu
Hahaha unachekesha sana..... Jose Mtambo ukamfananishe na Mo Technic,
Seriously!!!?
Mo Tech jamaa yupo vizuri sana,mtambo yupo vizuri ila tatizo pombe nyingi sana ,hapo ndipo anapofeli.
Binafsi namkubali Joseverest
Kuna hii Ngoma ya Roma mkatoliki,msimchukulie poa Jose MtamboJose Mtambo ndo nani?
hana tofauti na kina man fongoMkuu upo right ,Jay Mo kashabadilika
Hapana man! Humtendei haki.Mkuu upo right ,Jay Mo kashabadilika
Kwani MO ana flow kama nani!!?... mbona kama ulikuja na majibu yako mfukoni tayari.Wengi mnamkubali mchopanga ila Jose naye ana kitu special na flow ya kivyake
Achana na hizo habari zitakusaidia nini?Wakuu hapo nani unamkubali?
Kwa hiyo ulikua unatuuliza swali au ulikua unatuambia kua Mtambo kabadilika?Kuna hii Ngoma ya Roma mkatoliki,msimchukulie poa Jose Mtambo