Habari za leo wanajamvi,
NINATUMA UZI HUU KUFUATIA UZI Nilioutuma Novemba 2008: Bado sijawapata ndugu zangu Joseph na Patrick (Watoto wa Afande Lemson Jonas Mgalla aka Afande SOKOMOKO WA MSALATO):
1. Patric ambaye mama yake ni Wanjila Zakaria. Patric alizaliwa Dodoma mwaka 1973 maeneo ya Msalato. Mama yake Patric ni mgogo. Baba yake Patric ni Mnyiha kwa jina ni Lemson Jonas Shale Mgalla aka Afande Sokomoko.
Baba yake Patric alikuwa ni mwanajeshi katika kambi ya Mafunzo ya JKT (Msalato). Baba yake Patric alikuwa maarufu kwa jina la Sokomoko.
Baba yake Patric aliondoka Dodoma baada ya kupata ajali mbaya sana ya gari huko Dodoma. Hivyo tangu apate ajali hiyo hajawahi kuonana na watoto wake Patric na Joseph.
2. Joseph ambaye mama yake ni Pili Athanas. Joseph alizaliwa mwaka 1973 huko Dodoma. Mama yeke Joseph ni Muha. Baba yake Joseph ni Lemson Jonas Shale Mgallah.
Joseph na mama yake waliondoka Dodoma mwaka 1973 na kuelekea Kigoma kwa matembezi. Bahati mbaya Baba yao hakuweza tena kuonana nao. Kwani Baba yao alipata ajali mbaya sana. Baba yao anaamini kwamba watoto wake hawajui yaliyomkuta.
ASANTENI.