Joseph Butiku: Vyombo vya Ulinzi na Usalama visijifanye havijui mambo yanayoendelea nchini

Joseph Butiku: Vyombo vya Ulinzi na Usalama visijifanye havijui mambo yanayoendelea nchini

Mwambukusi agombee tu urais ili aje ayafunue yote haya mauza uza anayoyafanya huyu kizimkazi.akigombea ushindi ni 100% maana wananchi tunapenda Marais wapenda haki ambao chochote kinachotokea Cha kipumbavu achukue hatua
 
Hivi Mzee Butiku ni mwenyekiti au mkurugenzi mtendaji wa taasisi ya Mwalimu Nyerere?
 
Mwambukusi agombee tu urais ili aje ayafunue yote haya mauza uza anayoyafanya huyu kizimkazi.akigombea ushindi ni 100% maana wananchi tunapenda Marais wapenda haki ambao chochote kinachotokea Cha kipumbavu achukue hatua
Kwani wakati wa Butiku ilikuwaje?

Muulize au msome Mwijage.
 
Kwani wakati wa Butiku ilikuwaje?

Muulize au msome Mwijage.
Unaleta story za Hitler kama reference leo. Umesahau mama alipowafokea mabalozi kuingilia mambo ya ndani,alivyojibiwa? Nyerere iliingilia mambo ya nchi ngapi? Nyerere alimsaidia Museveni kumng'oa Dikteta Idd Amin. Source Crown tv.
 
Back
Top Bottom