"Nina mpango wa kwenda jimboni Mikumi kugombea tena nafasi yangu ya ubunge. Wananchi wamekuwa na kilio kikubwa sana kwa sababu wanakosa uwakilishi. Wamekuwa wakinipigia simu wakiniombea
sana, wakiwa wanaamini mimi ni sauti yao, kwa sababu nilikuwa nikiwakilisha wananchi na si mimi mwenyewe na familia yangu." - Msanii Professor Jay