Joseph Haule (Prof. Jay): Sasa nipo Imara, Namshukuru Rais Samia, Mbowe, Watanzania na Familia. See you soon

Joseph Haule (Prof. Jay): Sasa nipo Imara, Namshukuru Rais Samia, Mbowe, Watanzania na Familia. See you soon

Hivi hizi BIMA za serikali zina cover gharama za pmagonjwa kama haya ya muda mrefu na gharama kubwa?

Mungu asimamie.
Bima za serikal8 hata kile kifurushi cha bei ghali kabisa bado zina bandwidth,
Inasemekana huyu jamaa kapata msaada wa mama samia
 
Mungu amekuwa mwema sana ktk maisha yako. Mke wako na Madaktari wabarikiwe sana na kila mmoja aliyejali hali yako na kutoa msaada. Wewe ni wa Ishara na Miujiza.
 

Attachments

  • 0EBC4BB8-8027-4579-AD2A-D9D2D919924D.jpeg
    0EBC4BB8-8027-4579-AD2A-D9D2D919924D.jpeg
    44 KB · Views: 3
Back
Top Bottom