Joseph Haule (Prof. Jay): Sasa nipo Imara, Namshukuru Rais Samia, Mbowe, Watanzania na Familia. See you soon

Wewe nawe,nilisema wapi ninafurahia?Nilisema now iam sure mme wangu yupo wapi.Sio kama zamani unaambiwa ninakwenda Mwanza,kumbe mtu yupo Serena hotel. Ninaongea facts.
Ungeweza kusema kauli hiyo kwa mtu yeyote unayempenda na kumthamini kama mama yako au dada yako , ?
Kwamba una uhakika mama au dada yako hatakusumbua tena mana una uhakika yupo kaburini?
 
Nina uhakika sitapata Ukimwi. Nina imani hiyo,imani ni kuwa na hakika kwa mambo yatarajiwayo,ni.bayana kwa mambo yasiyoonekana.Sitakuja kupata HIV kamwe.Nitakufa siku moja nikiwa mzee ,ila si kwa UKIMWI.

"Omba pepo siyo unaomba uzima wa milele, duniani nimeona mengi lakini jicho halijafika kilele, siwaahidi kuishi miaka 100 kama alivyowaahidi hayati Nyerere" - Kalapina Mstari wa Mbele -Kikosi cha Mizinga 2003
 
Nina uhakika sitapata Ukimwi. Nina imani hiyo,imani ni kuwa na hakika kwa mambo yatarajiwayo,ni.bayana kwa mambo yasiyoonekana.Sitakuja kupata HIV kamwe.Nitakufa siku moja nikiwa mzee ,ila si kwa UKIMWI.
Utakufa siku moja ukiwa mzee una njia ya kuzuia ajali ila umenikumbusha kisa kimoja .
 
Ungeweza kusema kauli hiyo kwa mtu yeyote unayempenda na kumthamini kama mama yako au dada yako , ?
Kwamba una uhakika mama au dada yako hatakusumbua tena mana una uhakika yupo kaburini?
Maswali gani sasa hayo?Hata kwa mme wangu nisingeweza sema kama asingekuwa anadanganya alipo.
 
Nachokiona kwa jamii yetu kuna watu bado wapo na tabia za unyanyapaaji ndio mana hata kama mtu ana hiyo shida wengi hawapendi kuweka wazi. Kwanza hakuna mwenye uhakika kama ni umeme kweli ama vipi na pia hata kama ni kweli si vyema kumtangaza kama mwenyewe hajataka iwe wazi.

Sent using Jamii Forums mobile app
..mkuu nadhani unyanyapaa unasababishwa na sisi wenyewe kuona huu ugonjwa ni tofauti na magonjwa mengi tunayoumwa..hao waathirika zaidi ya 1.7miln ukiwaweka ni zaidi ya population ya mikoa miwili ya singida na kilimanjaro..ni watu wengi sana na wanaishi vizuri tu..pia hatar ya wao kufa ni ndogo sana kuliko magonjwa mengi ya hatar kama cancer,malaria,etc ambayo kwa mwaka yanaua ndugu zetu wengi kuliko ukimwi.

..nafikiri huu uoga na labda usiri wenye unafiki kwa sisi watz tungeuacha na automatically ungesaidia kuondoa unyanyapaa na labda kushusha maambukizi sana..wanasema hakuna ukoo tz ambao haujapoteza ndugu au kuwa na ndugu mwenye ukimwi toka uingie tz sasa sijui usiri unatokana na nini?ugonjwa ni ugonjwa tu hakuna wenye hadhi au usio na hadhi!
 
mkuu123 Upo sahihi shida inaanzia kwetu wenyewe. Ni vizuri tubadilike haya yote hayatakuwepo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom