t blj JF-Expert Member Joined Dec 2, 2011 Posts 7,035 Reaction score 16,705 May 4, 2023 #261 Kmt said: Hivi hizi BIMA za serikali zina cover gharama za pmagonjwa kama haya ya muda mrefu na gharama kubwa? Mungu asimamie. Click to expand... Bima za serikal8 hata kile kifurushi cha bei ghali kabisa bado zina bandwidth, Inasemekana huyu jamaa kapata msaada wa mama samia
Kmt said: Hivi hizi BIMA za serikali zina cover gharama za pmagonjwa kama haya ya muda mrefu na gharama kubwa? Mungu asimamie. Click to expand... Bima za serikal8 hata kile kifurushi cha bei ghali kabisa bado zina bandwidth, Inasemekana huyu jamaa kapata msaada wa mama samia
lugoda12 JF-Expert Member Joined Jul 28, 2018 Posts 276 Reaction score 574 Oct 12, 2024 #262 Mungu amekuwa mwema sana ktk maisha yako. Mke wako na Madaktari wabarikiwe sana na kila mmoja aliyejali hali yako na kutoa msaada. Wewe ni wa Ishara na Miujiza. Attachments 0EBC4BB8-8027-4579-AD2A-D9D2D919924D.jpeg 44 KB · Views: 3
Mungu amekuwa mwema sana ktk maisha yako. Mke wako na Madaktari wabarikiwe sana na kila mmoja aliyejali hali yako na kutoa msaada. Wewe ni wa Ishara na Miujiza.
Killing machine JF-Expert Member Joined Jul 24, 2022 Posts 2,052 Reaction score 2,995 Oct 12, 2024 #263 Naskia jamaa anataka kugombea Tena ??