Joseph Kasheku Musukuma achukua Fomu ya kugombea Uspika

Joseph Kasheku Musukuma achukua Fomu ya kugombea Uspika

Bunge ni mhimili wa taifa, kiongozi ni lazima awe na upeo mkubwa hasa kielimu. Sijui kifungu cha katiba kinasemaje japo ni haki ya kila Mtanzania.
 
Huyu anafanya Comedian tupu, hakuna cha msingi zaidi ya kuchezea pesa zake binafsi na sifa za kijinga.
 
ohohoooooo pascal umeisha anza kuleta njaa njyaa zako hapa
Suala la naibu spika kuchaguliwa kuwa spika wala si suala linalohitaji unabii. Tulia kwa mifumo yetu ana chance kubwa over 80 kupata kiti cha uspika. Wala mtu akitabiri hivyo si unajimu au unabii.... ni jambo lipo wazi sana
 
Huyu anafanya Comedian tupu, hakuna cha msingi zaidi ya kuchezea pesa zake binafsi na sifa za kijinga.
Muda mwingine anao umuhimu wake kwa kufanya hivyo.
 
Back
Top Bottom