Joseph Kasheku Musukuma achukua Fomu ya kugombea Uspika

Joseph Kasheku Musukuma achukua Fomu ya kugombea Uspika

Hiki kipengele "ujue kusoma na kuandika" kiondolewe, sasa ni ulimwengu wa sayansi na teknologia. Tuweke "awe na degree ya kutoka chuo kilichosagiliwa" mwenye kiwango zaidi cha elimu atafikiriwa kwanza.
 
Lakini unazani kuwa wenye shahada wote wanaweza kuwa bora kuzidi hawa wengine?
 
Mwenye shahada ya kweli ana uwezo wa kujenga hoja za kisomi, mf. Katika uchumi Kuna data za kisomi, ili ujue uchumi ni nini! Unajenga hoja kwa kutumia data za kisayansi zinazoendana na huu ulimwengu wa teknologia. Unavyozidi kuongea kiwango cha elimu unazidi kuzijua hizi data. Japo uongozi ni kipaji ila "kipaji +elimu = ufanisi."
 
Back
Top Bottom