Hawa ndio anaodhalilisha siasa na kitu cha spikaMbunge wa jimbo la Geita vijijini Dr Joseph Kasheku Musukuma amechukua Fomu ya kugombea uspika wa Jamuhuri ya muungano wa Tanzania katika ofisi ndogo ya CCM Lumumba Dar es salaam
Hapo sasa! Ndo tumefika hapo sasa!! "Mhimili" muhimu huo na watu wanauona kama mtumba flani vile, kila mtu anaujaribu ...dah!Mara pa anaukwaa uspika
Anaweza wa darasa la saba akawa bora na akaitendea haki kazi yake kuliko wale wa ma-PHD , Who knows !!Darasa la 7 watapata spika
Ccm wote wanafanana tu, mwenye PhD na mwenye cheti cha darasa la saba hakuna tofauti kwa sababu mwenyekiti ndio kila kitu.Pengine yeye ndiye anaweza kuwa bora.
Kimchezo kesho unaweza kuta ,anakua spika, Dunia ina maajabu yakeMbunge wa jimbo la Geita vijijini Dr Joseph Kasheku Musukuma amechukua Fomu ya kugombea uspika wa Jamuhuri ya muungano wa Tanzania katika ofisi ndogo ya CCM Lumumba Dar es salaam
Suala la naibu spika kuchaguliwa kuwa spika wala si suala linalohitaji unabii. Tulia kwa mifumo yetu ana chance kubwa over 80 kupata kiti cha uspika. Wala mtu akitabiri hivyo si unajimu au unabii.... ni jambo lipo wazi sanaohohoooooo pascal umeisha anza kuleta njaa njyaa zako hapa
PhD imepata majukumu. Ila wakisema aongee kiingereza ndo basi tenaNi haki yake kikatiba