Joseph Kibwetere and Ugandan Cult Mass Murder/Suicide

Habari ndugu zangu....hua nasikia sana ili neno 'usije kufa kama wafuasi wa kibwetele' ....mwenye historia fupi ya uyu kibwetele anisaidie na hawa wafuasi wake walikufaje....?
 
Ni waumini wa mchungaji kibwetere ambao aliwaambia mwisho wa dunia umekaribia mwaka 2000 hivo wakahama makwao wakahamia kanisan kwake na wakampa mali zao zote ili wasubiri kunyakuliwa kwenda kurithi ufalme. Wanaume hawakuruhusiwa kuonana na wanawake hata kama ni wanandoa. Suku zikaenda dunia haikuisha waumini wakaanza kuhoji kibwetere akaona isiwe tabu akawaingiza kanisani akafunga akaliwasha moto. Huo ndo ukawa mwisho wao wa dunia...kama nimekosea nisahihishwe
 
Huyu hapa Kibwetere. Aliwakusanya wafuasi wake miaka ya 2000 baada ya kuwatabiria mwisho wa dunia. Akawaweka kanisani kisha akawachoma moto wakiwa ndani. Yeye akasepa na mali zao zote walizokusanya
 

Attachments

  • 1458316871106.jpg
    3.2 KB · Views: 70
Kwaio kibwetele mwenyew alipotela wapi....? Je hakuwai kukamatwa
 
Huyu hapa Kibwetere. Aliwakusanya wafuasi wake miaka ya 2000 baada ya kuwatabiria mwisho wa dunia. Akawaweka kanisani kisha akawachoma moto wakiwa ndani. Yeye akasepa na mali zao zote walizokusanya
Asante... Ila yeye kibwetele hakuwai kukamatwa kwa hayo makosa yake..?
 
Hi ilitokea mwezi unaokuja wa March,ni kumbukumbu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…