Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 2,060
- 5,648
Mimi Sina Chama ndio maadili ya shughuli ninayofanya lakini mama amepewa nafasi ya kusema kwamba yeye ndiye atakayekuwa mgombea wetu rasmi
Duh we jamaa upo?Hata alichosema hakijaeleweka
Kwa wizi huu! Kumuombea yule bibi kura ni kujitakia laana ya kuwamaliza watoto wetuWakuu
Joseph Kusaga, Mkurugenzi Mtendaji Clouds Media Group akizungumza kwenye tukio la Uzinduzi wa Malkia wa Nguvu amesema
"Huu ni mwaka tunakwenda kwenye uchaguzi na uchaguzi wetu tumeshasema mama ndiye Rais wetu. Mimi Sina Chama ndio maadili ya shughuli ninayofanya lakini mama amepewa nafasi ya kusema kwamba yeye ndiye atakayekuwa mgombea wetu rasmi"
Soma pia kuhusu Hali ya Vyombo vya Habari kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025: Kuna uhuru wa kutosha katika utekelezaji wa majukumu yao?
Atashinda kwa 80%, au ataiba kura kwa 80%?Dkt Samia atashinda kura za urais kwa zaidi asilimia themanini (80%).
NDOGO SANA HIZI MKUUDkt Samia atashinda kura za urais kwa zaidi asilimia themanini (80%).
Vipi mimi nikawa Rais so atakimbia nchi?Wakuu