Pre GE2025 Joseph Kusaga: Mwaka 2025, Mama ndiye Rais wetu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
2,060
Reaction score
5,648
Wakuu

Joseph Kusaga, Mkurugenzi Mtendaji Clouds Media Group akizungumza kwenye tukio la Uzinduzi wa Malkia wa Nguvu amesema

"Huu ni mwaka tunakwenda kwenye uchaguzi na uchaguzi wetu tumeshasema mama ndiye Rais wetu. Mimi Sina Chama ndio maadili ya shughuli ninayofanya lakini mama amepewa nafasi ya kusema kwamba yeye ndiye atakayekuwa mgombea wetu rasmi"

Soma pia kuhusu
Hali ya Vyombo vya Habari kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025: Kuna uhuru wa kutosha katika utekelezaji wa majukumu yao?

1741856279057.png

Mimi Sina Chama ndio maadili ya shughuli ninayofanya lakini mama amepewa nafasi ya kusema kwamba yeye ndiye atakayekuwa mgombea wetu rasmi

Kichwa tikiti maji, lakini ubongo kitenesi...
 
Dkt Samia atashinda kura za urais kwa zaidi asilimia themanini (80%).
 
Hakuna cha ajabu hapo!

Joseph Kusaga & marehemu Ruge pamoja na clouds media hawa wote ni chawa wa ccm tangu kitamboo sanaaa!

Ruge na Nape Moses Nnauye ndio waliokuwa wanabudi "slogans" za ccm kama "hapa kazi tu!" n.k.

Hata huyu Kusaga pia ni wakala pro max wa chama dola!

Japo alichosema kama hakijaeleweka vile kumbe anataka kuwavuruga wajinga!

Sifa ya watu wanaoelewa ni kuelewa mambo yasiyo eleweka!

Adios Amigo!
 
Wakuu

Joseph Kusaga, Mkurugenzi Mtendaji Clouds Media Group akizungumza kwenye tukio la Uzinduzi wa Malkia wa Nguvu amesema

"Huu ni mwaka tunakwenda kwenye uchaguzi na uchaguzi wetu tumeshasema mama ndiye Rais wetu. Mimi Sina Chama ndio maadili ya shughuli ninayofanya lakini mama amepewa nafasi ya kusema kwamba yeye ndiye atakayekuwa mgombea wetu rasmi"

Soma pia kuhusu
Hali ya Vyombo vya Habari kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025: Kuna uhuru wa kutosha katika utekelezaji wa majukumu yao?
Kwa wizi huu! Kumuombea yule bibi kura ni kujitakia laana ya kuwamaliza watoto wetu
 
Attachments

  • IMG-20250312-WA0034.jpg
    IMG-20250312-WA0034.jpg
    177.6 KB · Views: 1
Wakuu

Joseph Kusaga, Mkurugenzi Mtendaji Clouds Media Group akizungumza kwenye tukio la Uzinduzi wa Malkia wa Nguvu amesema

"Huu ni mwaka tunakwenda kwenye uchaguzi na uchaguzi wetu tumeshasema mama ndiye Rais wetu. Mimi Sina Chama ndio maadili ya shughuli ninayofanya lakini mama amepewa nafasi ya kusema kwamba yeye ndiye atakayekuwa mgombea wetu rasmi"

Soma pia kuhusu
Hali ya Vyombo vya Habari kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025: Kuna uhuru wa kutosha katika utekelezaji wa majukumu yao?
Vipi mimi nikawa Rais so atakimbia nchi?
 
Wakuu,

Ni wazi sasa kuwa Clouds ni tawi la CCM.

Akizungumza jana kwenye Mkurugenzi wa Clouds Media Joseph Kusaga, alisema kuwa kwenye Uchaguzi wao wanaenda na Mama.

Baada ya spana kuzidi naona wamefunga comments kwenye hiyo post ya Instagram

"Huu ni mwaka tunakwenda kwenye uchaguzi na uchaguzi wetu tumeshasema mama ndiye Rais wetu. Mimi Sina Chama ndio maadili ya shughuli ninayofanya lakini mama amepewa nafasi ya kusema kwamba yeye ndiye atakayekuwa mgombea wetu rasmi"

IMG_0663.jpeg
 
Back
Top Bottom