Joseph Kusaga na ujio wa ‘Netflix’ ya Bongo

Joseph Kusaga na ujio wa ‘Netflix’ ya Bongo

Well…
Usichokijua ni kwamba chanzo kinachonipa habari nyingi ninazozileta hapa ambazo hazina shaka ndani yake, kina ukaribu wa moja kwa moja na hao watu. Sio habari za kusikia…

Habari nyingi ninazozileta hapa, 90% huwa napata mrejesho kutoka kwa wahusika walivyozipokea. Wengi humtafuta chanzo changu kulalamika habari hizi nazipata wapi au wengine wanawatafuta watu wake wa karibu na habari zinamfikia naye hunifikishia.

Ndio maana nilishukuru kwa mfuatiliaji wa taarifa zangu kuniambia vile (of course nilichokiandika muhusika alifahamu, FYI)
Nilikukosoa hii habari, ukaja juu. Mwezi wa 6 umepita na sasa tunaingia 2025.

Leo tena umekuja na tango lingine.

Anyway.....
 
Apewe ulinzi wazungu washenzi wanaweza kumdhuru
 
Back
Top Bottom