Well…
Usichokijua ni kwamba chanzo kinachonipa habari nyingi ninazozileta hapa ambazo hazina shaka ndani yake, kina ukaribu wa moja kwa moja na hao watu. Sio habari za kusikia…
Habari nyingi ninazozileta hapa, 90% huwa napata mrejesho kutoka kwa wahusika walivyozipokea. Wengi humtafuta chanzo changu kulalamika habari hizi nazipata wapi au wengine wanawatafuta watu wake wa karibu na habari zinamfikia naye hunifikishia.
Ndio maana nilishukuru kwa mfuatiliaji wa taarifa zangu kuniambia vile (of course nilichokiandika muhusika alifahamu, FYI)