Joseph Kusaga: Sijaanzisha Wasafi Media

Joseph Kusaga: Sijaanzisha Wasafi Media

Kwanza lazima ujue kuwa brand ya wasafi ni ya mondi.

Kama mondi hana maamuzi,kwa nini show zake hupigwa pale live?kwa nini mambo yake hurushwa pale live mfano happy birthday ya dada yake?

Ukisema wasafi unamaanisha mondi.kuhusu hisa ni maswala ya biashara. Tofauti na hapo ni chuki tu. Hata Kiba anajua ndio maana haendi pale.
"hata kiba anajua ndo maana hendi pale" [emoji119][emoji119]
 
Kwanza lazima ujue kuwa brand ya wasafi ni ya mondi.

Kama mondi hana maamuzi,kwa nini show zake hupigwa pale live?kwa nini mambo yake hurushwa pale live mfano happy birthday ya dada yake?

Ukisema wasafi unamaanisha mondi.kuhusu hisa ni maswala ya biashara. Tofauti na hapo ni chuki tu. Hata Kiba anajua ndio maana haendi pale.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] bila kumuweka kiba usingekamilisha hoja? Mmiliki wa wasafi n mke wa kusaga.
 
Maamuzi yanatokana na wanahisa wote. Kuna kupigia kura kwa jambo ambalo halifikiwi mwafaka kwa pamoja.
Mwenye hisa nyingi ananufaika kupata mgao mkubwa wa faida inayopatikana, pia hupata hasara kubwa ikitokea biashara kuyumba ndio maana anakuwa mtu wa kulinda sana biashara isipate hasara.
Na ndio huyo mmiliki mwenye hisa kubwa. Au unasemaje? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom