Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
Wanaume wa dar wana mafumbo ya kike sasa si angetaja tu hizo redio
Kajibu Kidplomasia sana maana swali lilikuwa direct ila kazunguka mbuyu japo jibu ni wazi kuwa anamiliki WCB radio.Joseph Kusaga: ukiona redio yoyote ya vijana mimi nimo kwa namna moja ama nyingine, aitaja pia jembe ni jembe ya Mwanza.
Nadhani Joseph Kusaga amefunga mjadala wa kipumbavu.
Joseph Kusaga: ukiona redio yoyote ya vijana mimi nimo kwa namna moja ama nyingine, aitaja pia jembe ni jembe ya Mwanza.
Nadhani Joseph Kusaga amefunga mjadala wa kipumbavu.
mkuu funguka zaidi basi. 😳😳Joseph Kusaga: ukiona redio yoyote ya vijana mimi nimo kwa namna moja ama nyingine, aitaja pia jembe ni jembe ya Mwanza.
Nadhani Joseph Kusaga amefunga mjadala wa kipumbavu.
inasikitisha mwanaume kujilegezaWe si unamuona jinsi anavyorembua mimacho, Jo Kusaga nafikiri atakuwa anashikishwa ukuta na mkewe tu, nina mashaka naye sana yule yanki.
Mi hata sijaelewa ni taarifa au ni mipasho katoaJoseph Kusaga: ukiona redio yoyote ya vijana mimi nimo kwa namna moja ama nyingine, aitaja pia jembe ni jembe ya Mwanza.
Nadhani Joseph Kusaga amefunga mjadala wa kipumbavu.
Na wewe umefungua mjadala wa kipumbavu!Joseph Kusaga: ukiona redio yoyote ya vijana mimi nimo kwa namna moja ama nyingine, aitaja pia jembe ni jembe ya Mwanza.
Nadhani Joseph Kusaga amefunga mjadala wa kipumbavu.
Wanaume wa dar wana mafumbo ya kike sasa si angetaja tu hizo redio
Hawa watangazaji na madj wakienda tu clouds wanaoa na kuoa..maslai yanaonekana ni mazuri na pia inaonekana wafanyakazi wanapewa sana uhuru na kujaliwa.Kajibu Kidplomasia sana maana swali lilikuwa direct ila kazunguka mbuyu japo jibu ni wazi kuwa anamiliki WCB radio.
Ila hawa CMG ukisikiliza walikotoka na story za watangazaji wao na wafanyakazi wengine zina inspire na zinavutia. Hawa jamaa ukiachilia mbali matatizo walio nayo ila inaelekea wamefanya mambo mengi makubwa na mazuri ambayo ni makubwa kuliko mabaya yao.
Pia inaelekea CMG inawapa sana nafasi watangazaji wake maana jana nilikuwa namsikiliza Kennedy alikuwa anatangaza EA radio lakin kumbe alikuwa anatamani sana kufahamiana na akina B12 na Mchomvu yani kuna siku eti George Bantu alikutana na Mchomvu kwenye tamasha flani, mchomvu akamuuliza george kennedy yuko wapi maana mchomvu alikuwa anapenda utangazaji wa kennedy ila hakuwa anamfahamu.
Kennedy hakuwepo eti george alipomwambia kennedy kuwa mchomvu kamuulizia kennedy hakuamini akauliza hakukupa hata namba zake. Kennedy anadai hata wanaomjua wakimuona wanaona mabadiriko yake ya kmaisha toka amejiunga CMG.
Kuna tesmony za wafanyakazi wengi zinachekesha na kuvutia kusikiliza akiwemo akina George bantu barbra na wengine.
Jambo moja ni kwamba watu tunaangalia mtu alipo bila kujua kaanzia wapi kabla wewe ya kumfahamu
Seriously mkuu ni media ya kipekeeHawa watangazaji na madj wakienda tu clouds wanaoa na kuoa..maslai yanaonekana ni mazuri na pia inaonekana wafanyakazi wanapewa sana uhuru na kujaliwa.