Joseph Kusaga: Tamasha la Fiesta kufanyika Dar es Salaam Disemba, namiliki Redio zote za vijana

Dr Matola PhD

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2010
Posts
60,050
Reaction score
104,466
Joseph Kusaga: ukiona redio yoyote ya vijana mimi nimo kwa namna moja ama nyingine, aitaja pia jembe ni jembe ya Mwanza.

Nadhani Joseph Kusaga amefunga mjadala wa kipumbavu.

MKURUGENZI Mtendaji wa Clouds Media, Joseph Kusaga, kupitia kipindi cha Clouds 360 leo, amedhibitisha taarifa za kurudiwa kwa tamasha la Tigo Fiesta kabla ya mwaka huu kwisha.

Kusaga ameyasema hayo wakati wa kuadhimisha mwaka wa 19 tangu kuanzishwa kwa Clouds Media Group
 
Joseph Kusaga: ukiona redio yoyote ya vijana mimi nimo kwa namna moja ama nyingine, aitaja pia jembe ni jembe ya Mwanza.

Nadhani Joseph Kusaga amefunga mjadala wa kipumbavu.
Kajibu Kidplomasia sana maana swali lilikuwa direct ila kazunguka mbuyu japo jibu ni wazi kuwa anamiliki WCB radio.
Ila hawa CMG ukisikiliza walikotoka na story za watangazaji wao na wafanyakazi wengine zina inspire na zinavutia. Hawa jamaa ukiachilia mbali matatizo walio nayo ila inaelekea wamefanya mambo mengi makubwa na mazuri ambayo ni makubwa kuliko mabaya yao.
Pia inaelekea CMG inawapa sana nafasi watangazaji wake maana jana nilikuwa namsikiliza Kennedy alikuwa anatangaza EA radio lakin kumbe alikuwa anatamani sana kufahamiana na akina B12 na Mchomvu yani kuna siku eti George Bantu alikutana na Mchomvu kwenye tamasha flani, mchomvu akamuuliza george kennedy yuko wapi maana mchomvu alikuwa anapenda utangazaji wa kennedy ila hakuwa anamfahamu.
Kennedy hakuwepo eti george alipomwambia kennedy kuwa mchomvu kamuulizia kennedy hakuamini akauliza hakukupa hata namba zake. Kennedy anadai hata wanaomjua wakimuona wanaona mabadiriko yake ya kmaisha toka amejiunga CMG.
Kuna tesmony za wafanyakazi wengi zinachekesha na kuvutia kusikiliza akiwemo akina George bantu barbra na wengine.
Jambo moja ni kwamba watu tunaangalia mtu alipo bila kujua kaanzia wapi kabla wewe ya kumfahamu
 
mkuu funguka zaidi basi. 😳😳
haya mambo si wote tunayajua kivile!
 
sawa
1. Efm
2. Jembefm
3. Dizzmfm
4. Wasafifm
etc....
 
Joseph Kusaga: ukiona redio yoyote ya vijana mimi nimo kwa namna moja ama nyingine, aitaja pia jembe ni jembe ya Mwanza.

Nadhani Joseph Kusaga amefunga mjadala wa kipumbavu.
Mi hata sijaelewa ni taarifa au ni mipasho katoa
 
Yes! Kaulizwa kabisa hadharani "unamiliki Wasafi Media?" Akajibu ''sitaki kuiongelea hiyo ila redio zote za vijana nazimiliki kwa namna moja ama nyingine"

Nadhani mmemuelewa sasa!
 
Amejibu hivyo ili hasiharibu brand ya CMG na vilevile kuhakikisha analinda chombo ambacho ana hisa cha Wasafi.
 
Joseph Kusaga: ukiona redio yoyote ya vijana mimi nimo kwa namna moja ama nyingine, aitaja pia jembe ni jembe ya Mwanza.

Nadhani Joseph Kusaga amefunga mjadala wa kipumbavu.
Na wewe umefungua mjadala wa kipumbavu!
 
Kajibu Kidplomasia sana maana swali lilikuwa direct ila kazunguka mbuyu japo jibu ni wazi kuwa anamiliki WCB radio.
Ila hawa CMG ukisikiliza walikotoka na story za watangazaji wao na wafanyakazi wengine zina inspire na zinavutia. Hawa jamaa ukiachilia mbali matatizo walio nayo ila inaelekea wamefanya mambo mengi makubwa na mazuri ambayo ni makubwa kuliko mabaya yao.
Pia inaelekea CMG inawapa sana nafasi watangazaji wake maana jana nilikuwa namsikiliza Kennedy alikuwa anatangaza EA radio lakin kumbe alikuwa anatamani sana kufahamiana na akina B12 na Mchomvu yani kuna siku eti George Bantu alikutana na Mchomvu kwenye tamasha flani, mchomvu akamuuliza george kennedy yuko wapi maana mchomvu alikuwa anapenda utangazaji wa kennedy ila hakuwa anamfahamu.
Kennedy hakuwepo eti george alipomwambia kennedy kuwa mchomvu kamuulizia kennedy hakuamini akauliza hakukupa hata namba zake. Kennedy anadai hata wanaomjua wakimuona wanaona mabadiriko yake ya kmaisha toka amejiunga CMG.
Kuna tesmony za wafanyakazi wengi zinachekesha na kuvutia kusikiliza akiwemo akina George bantu barbra na wengine.
Jambo moja ni kwamba watu tunaangalia mtu alipo bila kujua kaanzia wapi kabla wewe ya kumfahamu
Hawa watangazaji na madj wakienda tu clouds wanaoa na kuoa..maslai yanaonekana ni mazuri na pia inaonekana wafanyakazi wanapewa sana uhuru na kujaliwa.
 
Seriously mkuu ni media ya kipekee
 
MD wa clouds media Joseph Kusaga tamasha la fiesta halina faida yoyote kifedha kwa upande wa clouds tofauti na watu wanvyosema na kudhani inawanyonya wasanii, Kusaga anasema wanaendelea kufanya Fiesta kwasababu wanaamini katika kuwapa wasanii platform na kukuza mziki wa bongo fleva
Kusaga aliongeza ukiangalia gharama za maandalizi na vile watu wanapoona watu wamejazana viwanjani Basi wanajua clouds wanakusanya mamilioni lakini ukweli ni kwamba gharama za kuendesha Fiesta ni kubwa kuliko kill kinachopatikana.
Ameongeza Fiesta Dar es Salaam itafanyika kabla mwaka kuisha.
 
Back
Top Bottom