Joseph Kusaga: Tamasha la Fiesta kufanyika Dar es Salaam Disemba, namiliki Redio zote za vijana

Zama za kujiona ndo anamiliki soko zimeisha zile zamaza kunyonya wasanii na kuona wakidai maslahi yao unawakomoa hazipo tena!! EA radio $Tv, Tv E &Radio wamemchanganya sana!!
Zama zimebadilika jombaa wasanii wana uhuru wa mahali pa kwenda penye maslahi!
 
Mbona mnatetemeka?
Mwacheni jamani duh!
 
Smooth operators hao, matawi ya juu!
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jamii forums bwana

Sasa wewe aliye kuambia Mimi nimemaliza form 4 mwaka huu nan?

Kwataarifa yako Mimi nimemaliza form 4 mwaka 2000
Kama kweli basi umeathiriwa kiakili na ule mchezo wenu pendwa hapo mawingu.
 
TIGO FIESTA IPO.

"#TigoFiesta2018 ipo, na lazima ifanyike kabla ya mwaka kuisha. Nimezungumza hadi na Mh Rais (Dkt Magufuli) kwamba pengine suala ni 'venue'.....Hili jambo limepenyezwa kwa viongozi wa Serikali tumekaa tumezungumza.." @josephkusaga.
.
.
#Clouds19
 
Mwambie mambo yapo Kwa wasafi
 
Nilidhan hawapati faida kabisa kumbe wanapata japo kidogo
Kwa maelezo yake amesema fiesta inaandaliwa na kampuni 15 ndizo vyanzo vya mapato siyo mapato ya raia wanaoingia. So Fiesta ina make via wadhamini
 
Yani upate hasara halafu kila leo uendelee kufanya kilekile...hahaha akawadanganye wajinga
Tatizo mnaocomment hamjamskiliza, kasema fiesta kwa viingilio haina faida maana unakuta wanaingia labda watu 5000 ukiangalia gharama za kuandaa na wasanii wanaopanda ni kubwa kuliko ela iliyo kusanywa, ila kasema fiesta inaandaliwa na watu 15 (nadhani alikuwa ana refer makampuni wadhamini) na ndiyo source ya mapato na uendeshaji wa fiesta.
 
Yes CMG wanamazuri mengi kuliko mabaya. Kama unaakili utajifunza na hasa wajisiliamali wanapaswa kujifunza namna CMG inavyo handle wafanyakazi na kuwatumia kwa faida ya pande zote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…