Kajibu Kidplomasia sana maana swali lilikuwa direct ila kazunguka mbuyu japo jibu ni wazi kuwa anamiliki WCB radio.
Ila hawa CMG ukisikiliza walikotoka na story za watangazaji wao na wafanyakazi wengine zina inspire na zinavutia. Hawa jamaa ukiachilia mbali matatizo walio nayo ila inaelekea wamefanya mambo mengi makubwa na mazuri ambayo ni makubwa kuliko mabaya yao.
Pia inaelekea CMG inawapa sana nafasi watangazaji wake maana jana nilikuwa namsikiliza Kennedy alikuwa anatangaza EA radio lakin kumbe alikuwa anatamani sana kufahamiana na akina B12 na Mchomvu yani kuna siku eti George Bantu alikutana na Mchomvu kwenye tamasha flani, mchomvu akamuuliza george kennedy yuko wapi maana mchomvu alikuwa anapenda utangazaji wa kennedy ila hakuwa anamfahamu.
Kennedy hakuwepo eti george alipomwambia kennedy kuwa mchomvu kamuulizia kennedy hakuamini akauliza hakukupa hata namba zake. Kennedy anadai hata wanaomjua wakimuona wanaona mabadiriko yake ya kmaisha toka amejiunga CMG.
Kuna tesmony za wafanyakazi wengi zinachekesha na kuvutia kusikiliza akiwemo akina George bantu barbra na wengine.
Jambo moja ni kwamba watu tunaangalia mtu alipo bila kujua kaanzia wapi kabla wewe ya kumfahamu