Joseph Kusaga: Tamasha la Fiesta kufanyika Dar es Salaam Disemba, namiliki Redio zote za vijana

Ndo hiyo inaenda kufanyika sasa tutajua wanaenda kufunga spika or viberiti
 
Acheni kubishana na rais.maamuzi ya mtoto huweza kutenguliwa na baba wa familia hata kama ni kwa shinikizo LA wazee wenzake
 
Watanzania kwa kupindisha maneno bwana yani unamwekea maneno mdomoni. Alisema Fiesta itafanyika kabla ya mwaka kuisha hakusema itafanyika leaders. Na kuhusu kumuona raisi alikuwa akiongelea juu ya kupata eneo ambalo watajenga ukumbi ambao ni sound proof ambao matamasha yote makubwa yanaweza fanyika akasema hata matamasha ya kidini
 
Jaman tuache roho mbaya, hivi unataka kuniambia ww ungekuwa na access ya kuonana na rais usingetumia hiyo chance kupata mtelemko flan?
Weka clip au kapicha alivyokuwa anaongea na Rais
 

Wivu.com

Hauna lingine

Fanya juhudi zako.. unajiona 💀 na kuandika upupwu..

Niliyoandika yameku 💉💉💉
 
Ni matajr wachache kama Kusaga ambao wanafanya jambo lisilo na tija sana kwao ila wanafanya kwa ajili ya wengine.Kuna uongo mwingine kuuamn inatakiwa uwe zezeta zaid.Sa wadhamin watawekeza pesa sehemu isiyo na manufaa.Wasanii wanalipwa kidogo hlo liko waz kabsa.Kwa ambae hajawah kuandaa sherehe hata ya birthday ndio atadanganyka.Ila uandaaj wa matamasha hata haya ye2 tunayoendaga vijijin.Faida ipo maana unalpa kikund 50 ww unapata laki.Naongea ninachokijua sio nlichoambiwa...
 
Hayo yamesemwa na watangazaji wa kipindi cha Clouds 360 leo kwamba CMG inatimiza miaka 20 hapo mwakani hivyo sherehe hizo zitafanyika kwa mwaka mzima zikiambatana na Fiesta itakayofanyika wilaya zote za Tanzania.
Source: Clouds 360

My take; Wanasiasa wataruhusu hii kitu ukizingatia 2019 ni mwaka wa uchaguzi wa serikali za mitaa!
 
Wao mikusanyika ya kisiasa ya upinzani ndio huwa inawanyima usingizi gambas, hayo mengine haiwahusu.
 
Nenda kaandae lako upige hela... Ni ujinga kufananisha tamasha la Fiesta na sherehe ya HB
 
Kusaga bado anatapatapa, pesa ya FIESTA ni tamu
 
Eti ukiona redio yoyote ya vijana mi nimo kha!!!! kwa hiyo east africa radio anamiliki sio? akajambe mbele.
 
Noted
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…