PetterIsuti
Senior Member
- Nov 29, 2014
- 118
- 28
Ndo hiyo inaenda kufanyika sasa tutajua wanaenda kufunga spika or viberiti
Mwenye ile Hospital ndiye aliandika barua kwenda manispaa kuomba ile shughuli inawabughudhi pale! embu fikiria mwenyewe sound kama ile alafu mita 150-200 kuna hospital! just be serious jomba! ukiwa Hospital tu huruhusi kupiga honi alafu mtu anafunga sound moja ambalo hatari! Inshort taarifa za serikali ni siri ningekuwekea.