Joseph Kusaga: Tamasha la Fiesta kufanyika Dar es Salaam Disemba, namiliki Redio zote za vijana

Siri ya biashara yoyote ni kutokuonesha kuwa umeianzisha kwaajili ya kupata faida.

Siku zote wafanyabiashara huwa wanajaribu kuonesha UMMA kuwa FOCUS YAO KUBWA SIYO PESA WALA FAIDA, ila lengo lao ni KUSAIDIA WATU au kutatua MATATIZO YA WATU.

Hivyo alichokizungumza yuko sahihi ndio ilivyo kwa mfanyabiashara yoyote.

Lakini ukweli halisi ni kuwa WANAPIGA FAIDA ZA AJABU !
 
Siri yoyote ya biashara ni kutokuonesha kuwa umeianzisha kwaajili ya kupata faida.

Siku zote wafanyabiashara huwa wanajaribu kuonesha kuwa FOCUS YAO KUBWA SIYO PESA WALA FAIDA, ila lengo lao ni KUSAIDIA WATU au kutatua MATATIZO YA WATU.

Hivyo alichokizungumza yuko sahihi ndio ilivyo kwa mfanyabiashara yoyote.
Nimekuelewa Sana mkuu
 
kwan walivyoanzisha walituambia gharama za uendeshaji ni pesa ya madafu sh ngapi? na kila mkoa wakienda wanapata sh ngapi? na mwisho wa fiesta walisema wamepata sh ngapi? asijinasibu kwa mbwembwe tu
 
Ongezea wadhamini wanatoa shillingi ngapi? Ndio yale yale ya kampuni za madini kila siku wanakuambia hawapati faida, lkn madini yanaisha na wenzetu ambao wana madini kama yale Wanafaidika.

Alafu kama Fiesta ingekuwa haina faida, sasa kwa nini wanawabania wasanii wasiotaka kushiriki tamasha la Fiesta.
 
Siri yoyote ya biashara ni kutokuonesha kuwa umeianzisha kwaajili ya kupata faida.

Siku zote wafanyabiashara huwa wanajaribu kuonesha UMMA kuwa FOCUS YAO KUBWA SIYO PESA WALA FAIDA, ila lengo lao ni KUSAIDIA WATU au kutatua MATATIZO YA WATU.

Hivyo alichokizungumza yuko sahihi ndio ilivyo kwa mfanyabiashara yoyote.

Lakini ukweli halisi ni kuwa WANAPIGA FAIDA ZA AJABU !
Kula gwara mkuu, umenena.
 
KUSAGA ANAMILIKI REDIO ZOTE ZA VIJANA.

@josephkusaga ameeleza kwamba Clouds ndiyo Redio ya kwanza ya vijana, ndiyo redio iliyoanza kupiga muziki wa 'Bongo Fleva' na kuweka muelekeo wa ujana uliopo sasa kwenye media. Anasema wote waliokuja kuanzisha redio walifuata muelekeo wa Clouds wa namna moja na hilo linamfanya yeye kuwa mmiliki
.
"Namiliki Redio zote za vijana kwa namna moja au nyingine" Alisema Kusaga na kusema kwamba yeye anaamini kwenye ushirika (Partnership) na hivyi kuna biashara nyingi (pamoja na Redio) ataendelea kuzianzisha kwa kushirikiana na vijana kwa sababu hilo lilikuwa lengo la Clouds tangu zamani.
.
#Clouds19: Tunajivunia Kufungua Dunia.
 
sawa
 
Kweny ile list ya konkii ya wale maraia waliofumuliwa rinda huyu dogo hayupo kweli?

To be a patriot thare is a price to pay
 
Kwa hiyo baada ya kumaliza form4 mwaka huu unajiona tunalingana nawe sio?

😂😂😂😂 jamii forums bwana

Sasa wewe aliye kuambia Mimi nimemaliza form 4 mwaka huu nan?

Kwataarifa yako Mimi nimemaliza form 4 mwaka 2000
 
KUSAGA ANAMILIKI REDIO ZOTE ZA VIJANA.

@josephkusaga ameeleza kwamba Clouds ndiyo Redio ya kwanza ya vijana, ndiyo redio iliyoanza kupiga muziki wa 'Bongo Fleva' na kuweka muelekeo wa ujana uliopo sasa kwenye media. Anasema wote waliokuja kuanzisha redio walifuata muelekeo wa Clouds wa namna moja na hilo linamfanya yeye kuwa mmiliki
.
"Namiliki Redio zote za vijana kwa namna moja au nyingine" Alisema Kusaga na kusema kwamba yeye anaamini kwenye ushirika (Partnership) na hivyi kuna biashara nyingi (pamoja na Redio) ataendelea kuzianzisha kwa kushirikiana na vijana kwa sababu hilo lilikuwa lengo la Clouds tangu zamani.
.
#Clouds19: Tunajivunia Kufungua Dunia.
CLOUDS FM ILIANZA MWAKA 1999 BONGO FLEVA ILIANZA 1981 NADHANI BOSI KUSAGA AMEANZA KUCHANGANYA MAFAILI .

IVI HAJUI KABLA YA CLOUDS STESHENI NYINGI ZILIKUWA ZINAPIGA BONGO FLEVA
 
Back
Top Bottom