Joseph Mbilinyi a.k.a Sugu akijivua uanachama Chadema, nitampigia kampeni Tulia Ackson achukue ubunge wa Mbeya Mjini

TAJIRI MKUU WA MATAJIRI

JF-Expert Member
Joined
Dec 1, 2010
Posts
11,999
Reaction score
24,328
Nasikia kina Sugu na MBOWE wanataka kuanziaha chama chao ambacho kipo sponsored na CCM na wameahidiwa kwamba chama hicho kipya ndio kitabeba viti vingi vya upinzani.

CHADEMA wameshasema No Reform no election, kina Sugu waroho wa madaraka wanadhani wataenda bungeni kirahisi, nawahakikishia, haitakuwa rahisi kihivyo.
 
Vijana wa Lissu bado mnamuogopa Mbowe. Mbowe ashastaafu yupo busy na biashara zake jengeni chama hakuna tena wa kumtupia uchafu wenu.
 
migambo wanaruka na kukanyagana sio gentleman?
 
Acha kuleta habari za ki uto uto hapa.
 
Wewe umesikia wapi?
 
Tanzania sijui kitokee kitu gani kituokoe, roho ya ulafi imejengeka, uzalendo ushapotea, imani yangu inaniambia hakuna mwanasiasa mwenye uchungu na taifa hili kila mtu anapambania maslahi binafsi kwanza.
 
Bado unamtafuta Mbowe πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€
 
Tanzania sijui kitokeekitu gani kituokoea, roho ya ulafi imejengeka, uzalendo ushapotea, imani yangu inaniambia hakuna mwanasiasa mwenye uchungu na taifa hili kila mtu anapambania maslahi binafsi kwanza.
πŸ“ŒπŸ“ŒπŸ“Œ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…