Joseph Mbilinyi a.k.a Sugu akijivua uanachama Chadema, nitampigia kampeni Tulia Ackson achukue ubunge wa Mbeya Mjini

Joseph Mbilinyi a.k.a Sugu akijivua uanachama Chadema, nitampigia kampeni Tulia Ackson achukue ubunge wa Mbeya Mjini

Nasikia kina Sugu na MBOWE wanataka kuanziaha chama chao ambacho kipo sponsored na CCM na wameahidiwa kwamba chama hicho kipya ndio kitabeba viti vingi vya upinzani.

CHADEMA wameshasema No Reform no election, kina Sugu waroho wa madaraka wanadhani wataenda bungeni kirahisi, nawahakikishia, haitakuwa rahisi kihivyo.
Jamani hizi ramli zenu tumeisha zichoka hebooo!!!!
 
Sugu ahame CDM eti kwa kuahidiwa chama chake kitapewa viti vingi....kwa kitendo tu cha mtoa mada kuwaza kwa uduni namna hii nakazia no reform no election
 
Back
Top Bottom