LGE2024 Joseph Mbilinyi atikisa Mbeya, Leo ilikuwa zamu ya Uyole Wananchi Waupania Uchaguzi wa Serikali za Mitaa

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
Kama ni kweli Sugu amemaliza kazi, that is very good, ila watu wa Mbeya, usiwaamini sana, maana wako kama yale maharage ya Mbeya,maji ni mara moja tuu kwisha kazi!
p
Paskali mtoto wa magorofani drive in...ulichosema hapa naomba siku ukiwa mbeya ukisema hadharani mkutanoni 😄

Ova
 
Paskali mtoto wa magorofani drive in...ulichosema hapa naomba siku ukiwa mbeya ukisema hadharani mkutanoni 😄

Ova
mimi ni mkweli kama yule brother wangu, akiwa Bukoba akawaeleza Wahaya kuhusu Katerero, hivyo nitakuja Mbeya kusaidia kampeni za ticha wangu na nitazungumzia maharage ya Mbeya, nitafikia Desderia Sugu ni mshikaji wangu sana, ila namkubali sana ticha wangu Hongera Spika Dkt. Tulia Ackson. Kuna haja MaSpika wetu iwe lazima kuwa Wanasheria?
View: https://youtu.be/ZM_D9HAPi5M
P
 
Hakukuwa na mafundisho yeyote zaidi ya matusi na kejeli.
 
Bora mwakani tutampa ubunge wa Mbeya Mjini, maana aliyepo hakuna kitu anafanya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…